Wastarabu wengi wanapatikana mikoa hii Tanzania

Tabora wastaarabu lakini most of them ni watu wa majungu majungu ....

Makabila ma3 haitatokea niishi mikoa yao,
1 Wanyamwezi
2 Wakurya
3 Wajaluo
Ustaarabu una maana pana mkuu ", ni zaidi ya hiyo tafasiri ambayo tunaipachika

Ukiwa mkarimu --- halafu hauogi wewe bado sio mstaarabu ".... neno ustaarabu linabeba mfumo mzima wa maisha ", watu wa kale walikuwa wanatoka katika nchi zao na kwenda misri kufuata Elimu kwa sababu inasadikika kwamba misri ya kale ndio sehemu ya kwanza kuwa na ustaarabu duniani (ambayo ni ELIMU )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tanga wanasifika kwa umalaya ni wastaarabu, zanzibar mashoga ni wastaarabu, mtwara na lindi uchawi na umasikini ni wastaarabu sana.......
 
Upo sahihi kamanda wangu, Ustaarabu una maana pana....
 
tanga wanasifika kwa umalaya ni wastaarabu, zanzibar mashoga ni wastaarabu, mtwara na lindi uchawi na umasikini ni wastaarabu sana.......

Dar pia usiisahau, tena huko ndio kuchafu zaidi ya mikoa yote Tanzania....umalaya dar, ushoga dar, madawa ya kulevya dar, ufuska wote unapatikana dar....
 
Ukisema ustaarabu unazungumzia mambo gani yani

Ustaarabu una maana pana...!!! Nnavyojuwa mtu akikutusi ama kutumia ukali wowote ule huyo sio mstaarabu, akitoka haja na hakunawa mikono huyo sio mstaarabu, akishalewa mapombe yake na akakojoa barabarani kadamnasi huyo pia sio mtaarabu,Shogaz and Malayaz hawa pia sio wastaarabu
 
Labda ustaarabu wa kufuga ndevu na kuvaa vipedo

Miji kama Iringa na Moshi, ambayo ilitajwa kuongoza kwa usafi Tanzania hujaitaja.
Umetaja eti sijui Lindi, Tanga, sehemu ambazo hadi karne hii Serikali inawalazimisha wajenge vyoo la sivyo watawatoza faini ama watawafunga..

Nyie watwana wa kiarabu bana
Mikoa ya pwani (kando ya bahari )vyoo kwao ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua nilichomaanisha, acha kujivua akili
Ungetaja na nchi zinazoongoza kwa huo 'ustaarabu ' duniani nadhani zingekua hizi...Somalia, Sudan, Misri, Libya, Saudia, Iraq, Iran na nyinginezo zinazofanana na hizo
Umesahau Afghanistan mkuu
 
Back
Top Bottom