Bahati mbaya zaidi awamu ya tano ina fufua kwa kasi sera za kijamaa ambazo zilianza kupotea taratibu.
Kama JPM angeachana na sera za ujamaa, akasimamia mazingira bora ya biashara na kukusanya kodi angefika mbali sana. Lakini ndo hivyo tena. Ni wale waliokulia na kuaminishwa ujamaa.
Hivi huwa mnasukumwa na nini hasa hadi kutongoza watu msiowajua? Ina maana katika pita pita zenu za kila siku na huko mnakoishi hakuna wanawake hadi uvamie mwanamke mtandaoni?
Unatoa nini kwa mtu anaye wekeza? Cheti, mkataba au nini. Ofisi yako iko wapi? Hizo fedha zinatolewa kwa njia gani? Account ya kampuni au account yako binafsi. Una kampuni na je imesajiliwa? Una leseni inayokuruhusu kufanya hiyo biashara?
Huwezi pata mkopo kwa kuanzisha biashara ya uchuuzi. Anza taratibu taratibu kwa mtaji ulionao. Otherwise fanya kazi, vibarua ukusanye mtaji then uanze kidogo.
Vyama vya wakulima vibaki kama platform tu za kuzungumzia maswala ya kilimo, kama vilivyo vyama vya wafanyakazi au wafanyabiashara. Mbona mishahara ya wafanyakazi haipiti kwenye vyama vya wafanyakazi?.
Sijui ni nani alibuni huu ujinga. Halafu tunaendelea kuung'ang'ania as if hakuna njia...
Kilimo ni biashara, kilimo ni kazi, kilimo ni ajira. Huu utaritibu wa uwepo wa vitu vinavyoitwa vyama vya ushirika na vyama vya msingi havimsaidii mkulima bali vina muangamiza. Huu utaratibu wa uwepo wa vyama vya ushirika ulibuniwa na Serikali ya awamu ya kwanza kama njia ya kuimarisha sera ya...
Shughuli ambazo mtu/wananchi wanafanya katika kujiletea maendeleo zinategemea sana sera, sheria, miundombinu na uendeshaji na usimamizi wa jumla wa shughuli za kila siku za serikali.
Kwa mfano unaweza kujitutumua ukalima zao fulani, ghafla serikali ika weka zuio la kuuza zao hilo nje ya nchi...
Nashukuru kwa mchango wako mzuri. Ukiacha Posta/EMS watu wa mabasi na malori hawana njia nzuri ya kukadiria gharama za usafirishaji. Je ni namna gani unaweza kufanya ili wasikupige bei juu?
Wandugu hongereni kwa kazi.
Natarajia kuanza biashara ambayo itahusisha kusafirisha mizigo kwenda kwa wateja zangu waliopo sehemu mbalimbali hapa TZ yaani mikoani, wilayani na hata vijijini. Kuna njia kadhaa nimefikiria kwa mfano, kutumia mabasi, kutumia Malori yanayo beba mizigo n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.