Hayo ni general sana ila kumbuka kila mtu ana interest zake labda ungesema kwenye heading kuwa wanawake wanaopenda mapenz. Maana wapo wasiopenda kupendwa bali miili yao ni office zao, sasa maneno hayo yana maana gani kwake? Katika viumbe vigumu kuvielewa ni binadam yaan...
Mwambie mamba ameshatabasamu baada ya kuona amefika mtu mtoni hiari yake tamfanye mamba acheke kabisa au amfanye anune. Huko tunaita ni kupendwa na shetan. Asubuhi njema mfowadie huo ushauri we amka best yangu mpendwa sasa twende viwandani c unajua tz ya viwanda ee. Twende kuipeleka nchi yetu...
Ndio unaweza sana tu, kwa 7bu sisi tulio mtandaon ni wanadamu wa jamii yetu wa sayari hii hii. Mazingira ya kukutana na Adam au Eva wako ni mahali popote. Ila kuna kuna dosari zake pia ambazo unaweza kuziindoa ni mambo ya kawaida kabisa ila usiache kumuuliza Mungu kwa habar hii pale unapokutana...
Afadhari kazi shatani zianguke na kazi ya Mungu itasonga mbele zaidi, asa hiv waliokuwa wateja pale bila shaka baadhi yao sasa wadau was fursana, MO passion mo portero nk ..
Huyo anaweza kuwa na moja kati ya haya
1. Ni wa mwisho kuzaliwa
2. Alianza mahusiano na wewe kupunguza stress za kuachana na mpz wake aliempenda ila anaona hufeet kwenye lile gap anatafuta njia ya kuacha
3. Hajakuzoe au hajiamini labda wew umemzidi status sasa anahic akipiga story anaweza...
Mi binafsi napenda anisave Jina langu na mi pia napenda kumsave hivyo, hata kuitwa tu napenda aniite Jina langu. Kwa maana Habari ya kuzoea nick names ni kwamba hata mchepuko unaitwa hivyo hivyo kwa hiyo hakuna maana. Mkiwa faragha anaita mf. Being, swtie cjui .. nn kumbe haitwi wew anakuwa...
Kuna nabii mweusi naikumbuka kauli yake kuwa wakitumaliza ss wataanza na nyie. Hata kama ikitokea leo Wapinzani wakaamua kunyamaza na kutoshughulika na wao, bado watafanyiana hayo wao kwa wao . Wacha tuone mwisho wake
Pole sana dadaangu sasa ndo amekuwa halisi mwanzon na yeye alikuwa feki na kwakuwa alikuwa na upendo feki mpe na ajali kwenye mapenzi wanaume wa hivo wako wengi ambao hawawezi kuhudumia familia zao jipange upya anza maisha mapya kuna maisha mengine pasipo yeye na ajira ya serkali .Mungu wa...
Haya mkuu nafikiri unaitwa kuzimu mapema. Hiyo ni kwa sababu hujaamua kwa moyo bali umeamua kwa mwili tu. Kama hujasikia kitu kinachoitwa vokovu basi kitafute hiki utapona kabisaa hao wanaokuja ni mawakala wa shetan anaitafuta roho yako. Usifurahie kupendwa na shetan kama unabisha kuna siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.