Bado mnaamini tuko kwenye vita ya uchumi?

Niliwahi sema kupitia huu mtandao kuwa," People with great minds can not be comfortable in this country and actually have nothing to celebrate so far except for those fools with small minds who most of them belong to a certain political party."

Leo hii yale makelele mnayasikia?Yameishia wapi?Nani kashitakiwa mpaka sasa?

Naona badala yake tumehamia kwenye vita ya kukatana mapanga kama wendawazmu!

Pathetic!!

Serious note right there!

Hakuna wa mtaa ule atakatiza kwenye hii jewel uliyotoa mkuu!None
 
sio lazima uanze na prejudice kuipa uhalali hoja yako. Wewe ni nani kuwafahamu people with great minds wakati wewe mwenyewe sio great mind. Great minds are never fanatic but you are. Unatoa hoja kama mtoto mdogo, unataka mambo yafanyike kama kutia chumvi mdomoni mara moja inakolea halafu unajiita great mind. You have no dignity, how many times you have taken people 'opp' and you never apologized instead erupting new with new lies! Faggot! Ptuuuh

Mkuu mbona kama umeichukulia personal sana?

Kwanini usijibu hoja yake?Achana na sideshows zingine za post yake!

Tusaidie kutuambia hatua zilizochukuliwa so far za kurudisha hadhi ya uchumi wetu kwenye ile vita takatifu mkulu aliyokua anapigana "supposedly"?Wangapi wamefungwa na pesa kiasi gani imerudi.

Toa namba tu,haina haja ya ku-attack vitu vya pembeni mkuu!

Haya twende kazi,tunakusikiliza jembe!
 
Niliwahi sema kupitia huu mtandao kuwa," People with great minds can not be comfortable in this country and actually have nothing to celebrate so far except for those fools with small minds who most of them belong to a certain political party."

Leo hii yale makelele mnayasikia?Yameishia wapi?Nani kashitakiwa mpaka sasa?

Naona badala yake tumehamia kwenye vita ya kukatana mapanga kama wendawazmu!

Pathetic!!
Asante sana mkuu , tulishawaambia watu wengi kwamba hii awamu ya 5 mpaka inamaliza miaka mitano kitakachoongezeka ni idadi ya waliopotea na kuuawa kwa wapinzani , hakuna maendeleo wala chochote .
 
sio lazima uanze na prejudice kuipa uhalali hoja yako. Wewe ni nani kuwafahamu people with great minds wakati wewe mwenyewe sio great mind. Great minds are never fanatic but you are. Unatoa hoja kama mtoto mdogo, unataka mambo yafanyike kama kutia chumvi mdomoni mara moja inakolea halafu unajiita great mind. You have no dignity, how many times you have taken people 'opp' and you never apologized instead erupting new with new lies! Faggot! Ptuuuh
Tell me your school/teachers where you "got" your English!
"Erupting .... !"
 
Upo sawa kabisa mkuu, unaweza hata kuhama. Hoja na kiki za kijinga ambazo wajinga huona kama sera zimeisha . Ila hakuna mwanzo uco na mwisho.
 
Tatizo letu ni democrasia na hawa vibaraka wao wapinzani tunashughulika nao kwanza.
 
Yupo kwenye vita ya kiuchumi kuwafilisi matajiri na kuwaacha maskini kama walivyo.
 
Back
Top Bottom