Recent content by ENANTIOMER

  1. ENANTIOMER

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameongeza siku 15 kwa Halmashauri zote nchini kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa

    Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake. Usilazimishe na watoto wao wakasomee hizo shule kwani hakuna aliyefanya hivyo na hakuna atayefanya hivyo na hata kama ungekuwa ni wewe usingefanya hivyo. Ww mwenyewe ukiwa na hela unajichagulia chakula kizuri cha kula na hakuna anayekupangia. Hata...
  2. ENANTIOMER

    Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Wilaya ya Missenyi iliopo mpakani mwa Tanzania na Uganda ndipo kilipo kiwanda kikubwa cha sukari Tanzania cha Kagera Sugar. Cha ajabu ukienda mpakani kununua sukari, sukari ya Uganda ina bei ndogo kuliko sukari ya Tanzania inayozalishwa ndani ya Wilaya hiyo hiyo. Wazee wa dili wanachofanya...
  3. ENANTIOMER

    Rais Museveni kufanya ziara ya kikazi Tanzania. Atakabidhi Shule iliyojengwa kwa ufadhili wake Wilayani Chato

    Chadema hivi hamjatambua kuwa hii mbinu yenu yq kizamani haiwezifanya kazi? Mlimpinga Mkapa kwa kutengeneza timu hewa za mwinyi na mkapa na mkaziita ni timu zinazopingana. CCM aliwanyoosha na akawashinda ktk kila chaguzi licha ya uzushi wenu. Pia mlimpinga Kikwete kwa kutengeneza timu hewa za...
  4. ENANTIOMER

    Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

    Ushauri wako umezingatia data zipi zenye namba zinazooshesha kuwa ni sahihi kwasasa kufuata hatua ulizoshauri?
  5. ENANTIOMER

    Uturuki: Rais Erdogan aamuru kufukuzwa kwa Mabalozi wa Nchi 10 kwa 'kukosa adabu'

    Yaani Marekani na washirika wake waivamie Libya na kuivuruga, kisha shutuma ya hali ya kitokuwa na utulivu ipewe nyingine. Ama kweli mwenye nguvu husema chochote na kuamrisha vyombo vyote vya habari ulimwenguni viandike atakayo yeye kuandikwa.
  6. ENANTIOMER

    Uturuki: Rais Erdogan aamuru kufukuzwa kwa Mabalozi wa Nchi 10 kwa 'kukosa adabu'

    Siku kila nchi ikiwa ktk hali nzuri ya kiuchumi, dunia itakuwa sehemu salama zaidi kuishi maana tutaheshimiana sana kipindi hicho. Mabomu ya nuclear yameleta kuheshimiana kwa nchi kubwa pekee kwa kila mmoja kumuogopa mwingine, ila heshima hiyo haipo kwetu sisi wadogo.
  7. ENANTIOMER

    DPP awafutia kesi Maimu, wenzake wawili mashtaka 10 ya utakatishaji fedha

    Mambo ya visasi peleka kaburini mkajadili na mwenzio. Miaka zaidi ya 5 kama ushahidi hajapatikana kwanini tusiamini mhusika aliwekwa ndani kwa kuonewa kwa sababu ya visasi binafsi vya shetani mchawi? Kama hao wangekuwa na hatia, shetani mwenye roho mbaya kwanini hakuacha wameshahukumiwa ktk...
  8. ENANTIOMER

    DR-Congo: Raia waandamana kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Tume hiyo hiyo iliyomtangaza aliyekuwa mpinzani kuwa ni mshindi wa kiti cha URAIS, sasa hivi inalalamikiwa na wapinzani waliobaki kuwa sio huru? Waafrica tunachezewa sana na wabwana wakubwa kututoa ktk reli, tustuke ktk hili.
  9. ENANTIOMER

    Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Mbona hujaandika kuwa viongozi hao wa kijiji walichangisha pesa za kukamilisha ejenzi wa Zahanati wakati Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI ilikuwa imeshapeleka pesa za kukamilisha ujenzi wa Zahanati hiyo, kiasi cha Tsh milioni 50? Taarifa yako imeakaa kinafiki sana!
  10. ENANTIOMER

    Nahitaji wimbo wa 'Walimu tuna hali ngumu' wa John Walker ili uniliwaze baada ya kutoka darasani

    Huu wimbo huwezi ukaupata sehemu yoyote mtandaoni isipokuwa JF
  11. ENANTIOMER

    Nahitaji wimbo wa 'Walimu tuna hali ngumu' wa John Walker ili uniliwaze baada ya kutoka darasani

    Nimeitafuta hii thread kwa ajili ya kupakua upya huu wimbo.
  12. ENANTIOMER

    Sub-vote code 2208 ni ya kada gani katika utumishi wa umma?

    Habari ndugu zangu! Naomba kufahamu ni Kada ipi katika Utumishi wa Umma ambayo watumishi wake wanatumia sub-vote code 2208. Nakumbuka nilipokuwa mwalimu wa Shule ya Secondary nilitumia sub-vote code 5008 na ilionekana ktk salary slip yangu. Je, sub-vote code 2208 ni ya Kada ipi katika Utumishi...
  13. ENANTIOMER

    Joining instructions ya Mlangarini Secondary School haipatikani

    Kwakweli jambo hili linasumbua sana. Wahusika wangekuwa wanapitia humu, shida hizi zungefutika
Back
Top Bottom