Rais Museveni kufanya ziara ya kikazi Tanzania. Atakabidhi Shule iliyojengwa kwa ufadhili wake Wilayani Chato

Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan

Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda

Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake

View attachment 2024364
Chato akakae kaburini kwa dikteta mwenzie
 
Karibu rafiki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Karibu nyumbani kaguta…
Museveni anajua kulipa shukrani kwa Tanzania tumesaidia nchi kibao na kuweka viongozi kuanzia Afrika kusini , Zimbabwe ,Rwanda ,kongo, Namibia, Msumbiji,nk lakini huwezi amini watanzania tunaonekana mabwege tu na hatujielewi nchi pekee zenye shukrani na Tanzania Ni Burundi na Uganda tu Very sad
 
Africa kuna vichekesho..huyo aliyetoa msaada wa shule,kwake kuna wanafunzi wanakaa chini

7EB5434E-DD88-43B9-A385-17D53555BC17.jpeg
 
Museveni anajua kulipa shukrani kwa Tanzania tumesaidia nchi kibao na kuweka viongozi kuanzia Afrika kusini , Zimbabwe ,Rwanda ,kongo, Namibia, Msumbiji,nk lakini huwezi amini watanzania tunaonekana mabwege tu na hatujielewi nchi pekee zenye shukrani na Tanzania Ni Burundi na Uganda tu Very sad

..usizilaumu hizo nchi wakati askari na wazee wetu waliopigana vita vya ukombozi na uganda hatuwathamini hapa nyumbani. umewahi kujiuliza kwanini siku ya mashujaa sio siku ya mapumziko? umeona taasisi yoyote ya umma, barabara, au mtaa, imepewa jina la shujaa aliyetumikia majeshi yetu?
 
Chadema wao utawaonea ,waliosambaza uongo huo na chadema kuunga tera ni wana CCM wenzenu wakiongozwa na team msoga ,na makamba ambao tumekuja gundua hawakuwa na hawajawai kumpenda magufuli tangia aingie madarakani, na ukute ata watu waliookotwa baharini kwenye viroba ni wao ndo wali plan ili wananchi mchukie kiongozi wao, ni swala la muda tu tutajua kilakitu.
Chadema hivi hamjatambua kuwa hii mbinu yenu yq kizamani haiwezifanya kazi?

Mlimpinga Mkapa kwa kutengeneza timu hewa za mwinyi na mkapa na mkaziita ni timu zinazopingana. CCM aliwanyoosha na akawashinda ktk kila chaguzi licha ya uzushi wenu.

Pia mlimpinga Kikwete kwa kutengeneza timu hewa za Kikwete na mkapa na mkaziita ni timu zinazopingana. CCM aliwanyoosha na akawashinda kila chaguzi licha ya uzushi wenu.

Mkampinga Magufuli kwa kutengeneza timu hewa za Kikwete na Magufuli na mkaziita ni timu zinazopingana. CCM aliwanyoosha na akawashinda kila chaguzi licha ya uzushi wenu.

Mnampinga Samia kwa kutengeneza timu hewa za Samia na Magufuli na mnaziita ni timu zinazopingana. CCM atawanyoosha na kuwashinda kila chaguzi licha ya uzushi wenu.

Sisi tunawazoom tu nakuwaona mazuzu na tunasubiri 2025 mpigwe tena
 
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan

Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda

Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake

View attachment 2024364
Litumbukie ziwani
 
Sababu ni hii kuomba Tanzania imwombe china isichukuwe Port yao

IMG-20211126-WA0101.jpg
 
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan

Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda

Rais Museveni atatembelea Bandari ya Dar na kukagua mradi unaoendelea wa SGR. Vilevile, ataenda Wilayani Chato, Mkoani Geita ambapo ataikabidhi rasmi Serikali ya Tanzania Shule ya Msingi iliyojengwa kwa ufadhili wake

View attachment 2024364
Museveni amejenga shule nyingi ukanda huu tofauti na Marais wa nchi nyingine za ukanda huu wanaoshindaga Tz, Kagera amejenga shule mbili kamachumu na Muhutwe. Ya Muhutwe inaitwa Nyailigamba ina O level na A level
DSC05373.JPG
 
Karibu rafiki

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Karibu Museveni rafiki wa kweli wa Tanzania ambaye hufichi hata siku moja kuongelea Tanzania kukufikisha ulipo na Uganda ilipo kuwa ulipewa dola elfu 50 na Tanzania kupitia Rashid Kawawa uanzishe Vita ya kumtimua dikteta Idd Amin ambaye alikuwa akiua waganda Kama ngedere

Asante kwa waganda kulipa fadhili

Museveni thank you
Kwa kujali na kuheshimu watanzania .Wengi tumewasaidia ila baada ya kutoka kimaisha wanatuona watanzania mabwege tusio na akili na tusiojielewa

Tunashukuru Museveni kwa kurudisha shukrani.Mungu akubariki
 
Kabisa.
 
Wewe ni mpuuzi sana
 
Museveni amejenga shule nyingi ukanda huu tofauti na Marais wa nchi nyingine za ukanda huu wanaoshindaga Tz, Kagera amejenga shule mbili kamachumu na Muhutwe. Ya Muhutwe inaitwa Nyailigamba ina O level na A level View attachment 2024446
Museveni ana shukrani Sana nchi zingine hawana nje ya Uganda nchi nyingine yenye shukrani Ni Burundi tu ndi maana hata Raisi Samia aliomba watupe walimu wa kifaransa

Burundi na Uganda Wana appreciations kwa Tanzania nchi zingine hamna
 
Back
Top Bottom