Recent content by ENANTE

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ni mbegu gani za mahindi zinafanya vizuri katika mkoa wako?

    Vipi kwa Kigoma mbegu gani inafaa?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

    Tatizo kila anayeenda kazizin haend kufanya kazi bali anaenda kutafuta pesa, zana ya kwenda kufanya kazi siku hizi haipo, mtu anawaza leo nitaingiza shingapi! Nikuwaza waza madili tu sio kazi, ndio maana hata kazi zenyewe hazina uafanis wowote ni majanga tu. Acha tuisome namba...kawimbo kazurii...
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    We umeona kula kitimoto,huyo hata kusali anasali dini lake la asili, kukisalit kitu ulichokuwa nacho tangu utoto ukiwa mtu mzima yataka moyo, hapo linda ndoa tu mengine ya kiiman linda moyo wako mwenyewe
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Mungu atakupa wakwako,piga kitabu huo ndio mkomboz wako,elimu haiwez ikakugeuka ila mwanadam huyuu ni kichaa atakuchakaza
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi michepuko inavyompa raha mke wangu

    Unafikiria Mkeo ni beki Tatu! Ila siku utakapongundua ni mshambuliaji atakuwa alisha kupiga mabao ya kutosha
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kupambana na adui bandia na kuacha maadui halisi. Wenye ndoto za kuwa Rais mjifunze

    ....amka hata dakika moja usikie yanaimbwa kule kwenye bustan ya ....
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    .....itawatafuna kimyakimya tu kama...
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

    Namna ya uwasilishaji wake, soma uwasilishaji wake utaelewa, hutaki mapenz na mtu unaanza kumpamba zaidi ya mkeo? Atakuwa na tatizo hilo sawa, kama ameamua kumsaliti mke wake kwa huyo mchepuko bas hata bint wa mchepuko achepuke nae
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Buriani Pendo, Buriani mpenzi yangu

    Sasa wewe mwenzio anaandkika kiswaz wewe una muandikia kidhungu mtaelewana kwel
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

    Inavyo onekana hata wewe unamtaman! Nachosikitika ni juu ya mkeo tu na wanao
  11. E

    JamiiForums Tanzania Yanga tuendelee kuwekeza kwenye unbeaten record ya kibongo, kwenye kimataifa tuwaachie wanaojua mpira

    Jamaa mmoja aliwah sema Simba ni chuo cha mpira, nadhan alieleweka na alicho kisema!!!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Usajili wa kisiasa unaendelea kuigharimu Yanga

    Usajili wa ligi kuu na Shirikisho bac
  13. E

    JamiiForums Tanzania Makambo na Kisinda wanasubiri nini Yanga?

    Eti wanasubiri nini! Hao nikwambie wanasubiri waipeleke timu katika makundi ya shirikisho na utambue ndio sababu kubwa ya kuwa sajili wakishindwa ndio umwambie huyo rais wako awatimue wakacheze ndanda Fc
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwa Ujanja Ujanja huu Simba Mnajiharibia

    Nadhani unacho kiandika haba ni ushabiki, Je kadi hizo zilikuwa halali au uonevu, mambo ya Azam yametoka wapi? Tushabikie mpira tuache malumbano, ndio maana nasema hivi hata sakho alitakiwa kad nyekundu!
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

    Hahahahhaaaaaa
Back
Top Bottom