Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

Binti wa mchepuko wangu anataka nitembee naye

Tangu napata akili sijawahi kuona mtu anasema anaahobokewa na demu mbovu, asiye na akili, mwenye rangi mbovu, asiye na shape, kapuku n.k! Kila mtu anavimba aonekane naye yumo, mtoa mada ni watu wa aina hiyo.
Anapenda pride na attention kwa watu. Kulikuwa na ulazima gani wa kutaja mpaka ufaulu, chuo, rangi, urembo(shape) n.k? Hii INA matter zaidi ya 98% ya hii story kuwa chai.
Nyongeza: sidhani kama kuna msichana smart kichwani kama ulivyosema atakubali kukuambia huo upuuzi, never!

Nawaza tu jamani!
 
Hii sio chai inaonyesha ni kweli.

Kinachonishangaza ni kwanini ataje mahali anapofanya kazi huyo mwanamke na kwamba ana mtoto wa form six.
Angeficha taarifa binafsi za muhusika. Not good.
Nafsi inashuhudia ni chai kabisa hii
 
Wakuu Niko Kwenye Denial Situation Mpaka Sjui Nifanye Nini.

Mwaka Jana nilianzisha na Mahusiano na Dada Mmoja Anafanya Kazi Hapa Dodoma.

Huyu Mpenzi Wangu ana Binti yake Amemaliza Form 6 mwaka Huu na Amepata div.1 ya point 5 na amechqguliwa Kwenda kusoma udaktari Chuo Fulani Hapa Tz.

Sasa nimekuwa na tabia ya Kwenda au kupita kumsalimia Mpenzi Wangu na kusalimia familia yake pia so nilienda pale lazima nimkute Binti yetu Huyu ambae mm Sio babake Wa kumzaa.

Kuna wakati Mamake aliniomba niende nae dukani kumnunulia simu Maana Alikuwa anamsumbua Mamake Kwamba anataka simu Kwa ajili ya kutumia.

So nikaenda nae dukani Hapa Jijini Dodoma tukanunua simu nikamsajilia na line pia so akawa na namba yangu ila mm sikuchukua yake.

Wakuu Huyu Binti wa Mchepuko Wangu ni Kisu sana halafu ana rangi ya mtume.

Mazoea yakaanza akawa ananitumia Meseji Sjui dadii nimekumis uje nyumbani Mara Sjui dadii nitoe out Hata bambalaga Yani Hekaheka nyingi Wakuu.

Nikawa najaribu kumkwepa Maana Mamake akijua tuna ukaribu kama Huo kitawaka mazee, ila Sasa Mazoea yakazidi, Mara anambie dadii napenda urefu Wako na Rangi Yako nyeusi, Nikawa najibu Asante Mwanangu.

Juzi wakati Niko Kwa Mamake then Mamake akanambia twende ndani tukaongee tukaenda Kuongeaongea Mama akataka mzigo ikabidi nimnjunje Kumbe Binti Yuko mlangoni anasikia miguno ya Mnjunjano jinsi Mamake anavyolalamika.

Baadae Nimetoka Namwambia Mwanangu naondoka amekaa kimya Wala hajibu sikujali nikaachana Nar, Demu akanisindikiza nikasepa Zangu home kwangu Maana Hapa Dom nakaa pekeyangu Waifu Yuko Dar Kazini pia.

Kufika Home akanitumia text Kwamba nimemhudhu, nikamuuliza kisa Nini akasema Kwa Nn Sijiongezi Kwake Maana na yy anataka utamu anaupata Mamake na Yuko Tayari haupate.

Nikamuuliza utamu Gani Anaoutaka Kutoka Kwa Babake Mimi, Daaaah ikabidi anambia ananipenda sana na anataka niwe namgonga pia hataki Mwanaume mwingine Zaidi Yangu.

Asubuhi Hii kanitumia Meseji Kwamba Nikitoka Kazini atakuja Home Kwangu Kuonana na Mm na Amenambia nisimwambie Mamake.

Wakuu nafanyaje Kumuepuka Huyu Binti Nawaza akikolea Kwangu na Mpenzi Wangu Kwa Maana ya Mamake akijua itakuwa noma Sana

Nipeni Ushauri Wakuu wa MMU... [emoji120][emoji120][emoji120]
Kwa huo uandishi wako unafanya kazi idara gani?
 
Hii sio chai inaonyesha ni kweli.

Kinachonishangaza ni kwanini ataje mahali anapofanya kazi huyo mwanamke na kwamba ana mtoto wa form six.
Angeficha taarifa binafsi za muhusika. Not good.
Siamini kana ni kweli. Mtu mzima hawezi kuwa ovyo namna hii

BTW nimekumisi chumbani kwetu
 
Toka Jana Napata Notification za Jf, nilikuwa sipati kwa Muda Sana
 
Mbweha hawezi kugeuka na kuwa Kondoo. Utu uzima wako unataka kuukataa na kujigeuza mtoto. Binti yuko kwenye umri unaoitwa "foolish age". Ni ule umri ambao hisia za mwili zinakuwa kali kuliko busara na hekima. Je, wewe pia uko kwenye huo umri uitwao "foolish"?
Au unasumbuliwa na uzinzi na uzinifu?
Fahamu kuna kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu.
Usiharibu maisha ya huyo mtoto, ambaye kwa kauli yako mwenyewe, umesema ni Daktari mtarajiwa.
Ukimharibia maisha, Karma haitakuacha salama!
Huu utakuwa mkanda wa x.japo mchepuko mwenyewe ana Kula Mali ya dada.dah shemeji watoto wako wa Dom sitaki waniite uncle maana hawanihusu...period
 
Naye utakuta binti Ana mwamba wake kumbe baba mlezi anamtafuna
 
Unasubiri uelekezwe Cha kufanya!!???. Asee unatuaibisha mabaharia.
 
Inavyo onekana hata wewe unamtaman! Nachosikitika ni juu ya mkeo tu na wanao
 
Back
Top Bottom