Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
Nimetolea mfano kuhusiana na matycons waliopo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujanja kumbe ni kupambana uwazidi watu na sio kupambana kwa ajiri ya maisha yako.
Kama hauna uwezo wa kufanya vitu vidogo vikubwa utawezaje....na akili kubwa ni akili kubwa