Recent content by Emygidius George

  1. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Je, naweza pata gari la mizigo ya ndani kutoka Dar tu Kagera

    Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
  2. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mkoa na Wilaya Bora ya kuishi kwa utulivu na kuwa na maendeleo

    Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa...
  3. Emygidius George

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni dada yangu ila anakataa undugu, ananifanyia visa ilhali ni dada yangu

    Kazi ipo,
  4. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    unalipia ukiwa nyumbani ila kwenye account ya chuo kama ilivyoandikwa .ni kwa crdb na nmb
  5. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    mi nimechaguliwa udom education with ICT naomba ushauri wenu ni mambo gani ya kuwanayo pia vip habari ya registration Lakini ukiweza waweza nipa ushauri wakunisaidia ahsante. email ni evangelistemygidiusgeorge@gmail.com kwa personal advice.
  6. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    ni tazamie jina Emygidius George kutoka Dodoma
  7. Emygidius George

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria

    kama umedownload kambi za Tanga , iringa na singea waweza kuz,apload maana hazifunguki.
Back
Top Bottom