Recent content by Emulsion

  1. E

    Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana br, unapiga hesabu za kitoto sana,mi nadhani na weye utakuwa ni walewale tu
  2. E

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Naona bado hakuna kitu mpaka sasa, nimechech NMBMobile NMB Mobile: Phone *150*66# yangu mpaka kale kasalio kangu kadogo kamemalizika. Duuuuu bado ni Bila Bila
  3. E

    Kati ya Vodacom na Halotel upi mtandao mzuri?

    Kiukweli HALOTEL siku hizi wamechoka sana, mpaka wanaboa, HASA Internet yao inaboa sana, tumeamua kurud VODA tu.
  4. E

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Nani aliyepata salary atuthibitishie humu?
  5. E

    Mfungwa wa Maisha Papii Kocha atuma ujumbe kwa Rais Magufuli

    MUNGU NI MWEMA, ATATENDA MUUJIZA NA UTATOKA HUKO ULIKO MUDA SI MREFU. AMEN
  6. E

    Nape aeleza kwanini Dkt. Kikwete hakutengeneza uadui na wapinzani

    JK is a man of a match since 2015 up to now.
  7. E

    African Satellite World and Sat Gear

    Br, can I get your WHATSAPP number viva emulsiong@gmail.com
  8. E

    African Satellite World and Sat Gear

    I think people there are busy now with Android iptv box.
  9. E

    Tetesi: Watumishi wenye Elimu ya Darasa la Saba walioajiriwa kuanzia 2004 waondolewa kazini

    Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh, hiiiii ni mbinu ya kupunguza watumishi hawa watu wamempigania sana ila mmmmmmmmmh.....
  10. E

    Antonio Conte, kocha mzuri anayeenda chelsea kudhalilika kwa tamaa ya pesa

    Kumbuka maneno yako, acha mbwembwe
Back
Top Bottom