Recent content by Empower Africa

  1. Empower Africa

    Ajira Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO cha Bagamoyo

    Chuo kikuu kishiriki cha Marian- MARUCO kilichopo Bagamoyo kinatangaza nafasi za assistant lecturer, lecturer na senior lecturer katika masomo ya Chemistry, Physics, English, History na Economics Vigezo ni 3.5 undergraduate na 4.0 Masters (Minimum requirements) Kwa maelezo zaidi I have...
  2. Empower Africa

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Private wakikuona huelewi mambo wanakukula nakumbuka nishawahi kufanya kazi na mtu kampuni moja grade sawa ila analipwa 700K wengine wanaanza na 1.5M Wahindi wanacheza na dishi la muajiriwa kama lina chenga wanajipigia
  3. Empower Africa

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Acha wivu kwani anafundisha bure😐
  4. Empower Africa

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Watu hawajui tu hivi wanavyoita vya kata wanalipa kama UDSM tena malecture wa kule wanakunywa na chai ☕️ bure umeona bwana Af bado kama unali PhD lako unalamba udean wa faculty haraka sana UDSM labda faida yake wako mjini pia kuna watoto wazuri Pia unaweza pitiwa na teuzi za mzee wa...
  5. Empower Africa

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Hata hivyo kuna watu wana 3.6, 3.7 undergraduate na wameajiriwa kwenye hivyo vyuo vyako connection inamatter pia☹️☹️
  6. Empower Africa

    Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

    Kwani hivyo vya kata scale ya mshahara iko chini kuliko hivi ulivyotaja?? Scale ile ile Popote kambi mzee
  7. Empower Africa

    Nahitaji mchumba wa kuoa

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, natafuta mchumba mwenye umri kati ya miaka 18-25. Awe mwenye upendo na anayejali Elimu sio kigezo sana ili mradi awe muelewa Mimi nasoma Masters Degree kwa sasa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Kama kuna mtu yuko interested ana PM then tutapeana contacts...
  8. Empower Africa

    Masters of Public Health

    Here the link HKMU-OSIM : Login
  9. Empower Africa

    Masters of Public Health

    Kairuki mwisho ni kesho apply leo Deadline Yao ni 30 October for Round 2
  10. Empower Africa

    Masters of Public Health

    Gharama za hii kitu zipo juu H.Kairuki 8.9M UDSM 7.5M MUHAS/ CUHAS 8-9M Nelson Mandela 7.9
  11. Empower Africa

    Msaada kozi ya kusoma kati ya hizi

    Thanks in advance Sir🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Back
Top Bottom