Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

Billy Graham

Member
Oct 27, 2019
11
45
TCU imetoa third edition ambayo imekuja na mabadiliko mengi.

Moja ya hayo ni kubadili kigezo cha kufundisha kuwa 3.5 kwa undergraduate badala ya 3.8 kwa vyuo vya serikali kama ilivyokua awali lakini 4.0 kwa Masters imeendelea kua ileile

Hii itatoa fursa kwa wanataaluma wenye sifa kupata nafasi na kupunguza uhaba wa wahadhiri vyuoni kutokana na kigezo cha awali

Sasa vijana mlioko vyuoni kazi kwenu pigeni ma GPA mkapige mpunga baada mteuliwe.

9FFC16B3-0ABF-4E70-8378-E69C2717ECC4.png
3567BDD4-9712-4AA3-8A0F-887A1176AFF7.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom