Tetesi: TCU imebadili vigezo vya kufundisha Chuo Kikuu

grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
1,885
2,000
Engineer 5.0 kumbe hata ajira bado umeanza Maneno ya shombo Kama Zzuchu. Mara mpo wachache Mara Huna flex
Yap sina flex ila nina maneni ya shombo kwa anayeleta shombo pia.nina option kubwa tu
1.chuo nimeombwa nibaki nipigishe.
2.au nianze ajira direct .(hii sijaomba huwa tunaajiriwa direct na kampuni za meli za nje na ndani so maamuzi ni yangu).
Nimewaomba muda nifikiri kwanza so ni mimi ni mimi nahitajika nitoe tamko tu , 😂 vp kwani unateseka mimi kugombaniwa na ajira?
 

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
7,895
2,000
Vigezo havijabadilika! Tangu awali TCU iliweka GPA ya 3.5. Ila vyuo vya serikali vilijiwekea vyenyewe GPA ya 3.8 japo vyuo vya binafsi vilizingatia vigezo rasmi vya TCU kuwa ni 3.5. TCU haina double standard kwa kigezo cha public au private university!! Huko kwenye public universities kuna maprofesa wazee ambao hawakutaka kizazi kingine kitokee haraka kurithi nafasi zao. Kwa hiyo wakalazimisha kigezo cha kauzibe Fulani!
 

andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,394
2,000
Yap sina flex ila nina maneni ya shombo kwa anayeleta shombo pia.nina option kubwa tu
1.chuo nimeombwa nibaki nipigishe.
2.au nianze ajira direct .(hii sijaomba huwa tunaajiriwa direct na kampuni za meli za nje na ndani so maamuzi ni yangu).
Nimewaomba muda nifikiri kwanza so ni mimi ni mimi nahitajika nitoe tamko tu , 😂 vp kwani unateseka mimi kugombaniwa na ajira?
Sasa kufundisha DMI ndo unaita chuo Kikuu...Prof wa DMI!!! Ha ha ha ha.
 

andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,394
2,000
chuo kimeniomba nibaki sjui ww unafikiria kwa nn ndo mana nakwambi korona ikipunguza mashambulizi na wasomi wakarudi vyuoni ni mimi sasa kuamua je nikawe lecture mdogo kutokea tz au nika apply udsm niwapigishe pure wazembe wale 😂😂😂
Chuo Pekee kinakubali hiyo qualifications yako ni hicho hicho DMI au ZOOM kule SUA na UDSM wata-equate hiyo Unayoita Degree sawa Na Ordinary Diploma.
 
Sep 8, 2019
22
45
Uzi umepoteza mvuto baada ya kuingiliwa na vijana wa udsm ambao wanaamini chuo ni udsm tu, vingine vyote ni takataka.
Watu hawajui tu hivi wanavyoita vya kata wanalipa kama UDSM tena malecture wa kule wanakunywa na chai ☕️ bure umeona bwana

Af bado kama unali PhD lako unalamba udean wa faculty haraka sana

UDSM labda faida yake wako mjini pia kuna watoto wazuri

Pia unaweza pitiwa na teuzi za mzee wa Magogoni lakini kama hujitumi UDSM unastaafu huna cheo na mifano ipo 😂😂😂
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom