Msaada kozi ya kusoma kati ya hizi

Nina admission za Masters Degree katika Course zifuatazo
Naomba ushauri ipi nisome yenye opportunity kubwa

>>Masters of Science in Chemistry-UDSM
>>Masters of Science in Public Health-Hubert Kairuki
>>Masters of Science in Biochemistry-MUHAS
Degree yako ya kwanza ni ipi na unafanya kazi gani?
 
Inasikitisha sana kwa msomi mwenye degree kuomba kozi za Masters ambazo hana details nazo.

Ina maana wewe siku zote ulikua unasoma bila malengo katika elimu yako?
Unasoma bila plans?

Hii ni aibu.
Kama taifa inabidi tujitafakari.
 
Hata usisikitike mkuu wala usitafakari sana
Mfumo ndo unatufanya tuwe hivi
We shauri cha kufanya mkuu Kati ya hizo
 
Back
Top Bottom