Msaada kozi ya kusoma kati ya hizi

Msaada kozi ya kusoma kati ya hizi

Nina admission za Masters Degree katika Course zifuatazo
Naomba ushauri ipi nisome yenye opportunity kubwa

>>Masters of Science in Chemistry-UDSM
>>Masters of Science in Public Health-Hubert Kairuki
>>Masters of Science in Biochemistry-MUHAS
Lakini pia kama una MD nakushauri ukasome masters ya internal medicine inalipa sana,75% ya wagonjwa tanzania wanasumbuliwa na magonjwa ya ndani.
 
kusoma sana ni upotevu wa mda na maarifa kwa hizi nchi zetu za kiafrica.
Hebu angalia degree yako ya kwanza hujaitendea haki kiasi kwamba hujijui wewe mwenyewe ukasome kozi ipi shahada ya uzamili,

mkuu tafuta pesa achana na kusoma soma karne hii utapoteza pesa na utakufa maskini,...
Pambana utoboe hiyo elimu yako inatosha kabisa
 
It is a hot cake course and its working environment is not so much complecated compared to next two.Also you will have a chance of being employed in various sectors especially researching sectors.
Thanks in advance Sir🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom