Recent content by emontibus

  1. E

    JamiiForums Tanzania Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

    Jaman connection mhm, mi sjaona hata video moja, naona mastori tu mtandaoni
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Tupe link ya huo uzi ili tukusanye mawazo nin kifanyike kuokoa kizaz chetu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Kweli ni hatar sana yaan matumain hamna kabisa. Sasa tufanyeje maana hili tatizo linazidi kukua na limeshafika mpaka milangoni mwetu na kwingine limeshaingia sebulen kabisa. Linawapata wadogo zetu, wajomba zetu na linakuja kwa watoto wetu...jamaaan...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki kipo sokoni? Title yake ni " Tanzania the Sleeping Economic Giant in Africa when will you wake up?"

    Nilisikia kuhusu kitabu hicho miaka michache iliyopita, na kwamba ni kitabu kilichoandikwa Marekani,USA. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze wana JF na kinapatikana wapi. Mimi binafsi nakitafuta jamaani...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Wakuu naomba kuuliza kuhusu hiki kitabu, kama kipo sokoni? Au hakipo. Kina title " Tanzania the Sleeping Economic Giant in Africa, when will you wake up?" Ni kitabu kilichoandikwa Marekani. Naomba kujua kama kipo sokoni nakitafuta jamani...au mwenye maelezo kuhusu kitabu hicho anijuze
  6. E

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Mimi nataka kununua tank la maji, simtank. Naomba anayejua bei zake anijuze, hasa kwa tanki la lita 1,000, Lita 5,000 na Lita 10,000.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    OK fasta kujibu...safi aisee...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Where can i find a book titled, blessed in the darkness by joel osteen´in dar es salaam

    Mkuu ukipata hicho kitabu naomba utuletee mrejesho wana JF...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

    Una majibu mafupi, ya moja kwa moja na yanayoeleweka...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wakili Fatma Karume achaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

    Mmh wewe sio mwanasheria, acha kura zifanye kazi... Tanzania ni nchi moja bana...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ndoa zina siri kubwa: Abeba mimba nje na kumlazimisha mumewe mwenye matatizo ya uzazi ailee

    OK, dats something detailed and professional biological process, kumbe...! Nimepata mwanga ...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hodi wana Jf

    Nimehama toka kuwa msomaji wa JF kuwa member kamili...
Back
Top Bottom