Recent content by Emmy Bonny

  1. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya ndege, Rais Magufuli: Wasiofurahia ujio wa ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner, watapata tabu sana

    mimi nachokiamini ni kwamba kufikia 2030 ndege zote za magufuri zitakuwa mabaki maana hazikupewa mibaraka na watanzania wote
  2. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

    Tarime ni babu kubwa visu vya kikurya ni noooma
  3. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkiongea leo kumbukeni kesho mtaongea nini tena

    Milioni 50 kila kijiji ziko wapi ccm au mnatafuta faru john
  4. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Nauza kompyuta desktop bei ya kutupa

    Shiling ngap?
  5. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaibomoa Tanzania badala ya CCM?

    Mwambie huyo akamsaidiye waziri mkuu kutafuta faru John sasa sijui kama huyo John ni mtu au mnyama
  6. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Hoja nzito: Tuwe wawazi na tufunguke

    Mimi mpaka hapo nipo njia panda nimesoma nasubili ajira ndelichako amefuta ajira sasa magufuri amenisaidia nn?
  7. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Hoja nzito: Tuwe wawazi na tufunguke

    Ndeli chako amefuta ajira ambazo kimsingi zinapaswa kuwepo sasa nambie mimi nitajivunia nini kwa uongozi wa magufuri
  8. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Hatima ya walimu

    Ndalichako mbona mawazo watutia, Elimu tuliyo tuliyoIpata ajira twangoja, Kila siku matamuko sisi wapi tupo tena, Elimu tuliyo pewa ajira kuzingoja. Angalia hali zetu uduni umetawala, Bahati kuipata chuoni kutinga mrua, Tukasoma kwa shida mpaka kung'amua, Leo tena kwetu laana ajira...
  9. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yaahirisha uamuzi wa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema hadi tarehe 20 Dec

    Wadu nipashe taarifa za Lema
  10. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    duu! hawa jamaa watatuendesha
  11. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    hii serikali ndipo ina mwaka mmoja lkn mapepe kibao, sasa mbona watu tutajaa magerezani?
  12. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ashtakiwa kwa makosa 3, likiwemo la Kumiliki Tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania

    kwani jamaa anakosa gani mpakumupa shida yote hiyo?
  13. Emmy Bonny

    JamiiForums Tanzania Mama Tanzania

    hata nyumbani demokrasia inapokosa watu hawaelewani ingawa ni ndugu, ingekuwa vyema kiongozi anakuwa mgombea binafsi na siyo vyama. naona vyama vinatutesa mpaka watu kufa kwajili ya vyama duu! demokrasia uko wapi?
Back
Top Bottom