NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
PALE WANASIASA WETU WANAPOKOSA AKIBA YA MANENO.
Siasa za Tanzania ni Pasua Kichwa....
Waliwaamimisha umma kuwa chama cha ACT-Wazalendo kimeweza kumudu kufanya kampeni kwa kupewa pesa za bure na CCM....
Wakaongeza kuwa Mambo yote anayoyafanya Zitto ni kwakuwa kahongwa na CCM kuua upinzani.....
Leo nakutana na Headline ya gazeti la Tanzania Daima(Gazeti la Mbowe)wameandika "Zitto na ACT-Wazalendo kufilisiwa kwa madeni wanayodaiwa waliyokopa wakati wa uchaguzi"....
Hapa ndipo tunapozidi kuuvua nguo upinzani wa Tanzania kwa kuwa na ndimi mbili katika hoja ileile.....
Hii haina tofauti na zile hoja za kumtangaza Lowassa ni Fisadi halafu baadae tena ukaanza kumtetea wakati wewe ndiye muasisi wa kumchafua...
Haina tifauti na kusema kuwa CUF ni CCM B, Mbatia ni usalama wa taifa.......Mwisho mnashirikiana na watu ulioaminisha umma kuwa hawafai....
Lakini pamoja na makosa yote hayo bado watu wanawaamini.....
Endeleeni kuwaamini lkn waambieni wawe na "AKIBA YA MANENO"