Nauza kompyuta desktop bei ya kutupa

Nauza kompyuta desktop bei ya kutupa

umeiba wapi hizi komputa. utatoa risiti?utaonyesha risiti ulizonunulia?
nimenunua kwa pesa yangu na risiti ninazo, kama unataka machine karibu sana tufanye biashara, nitakuonesha duka nililo nunua na risiti pia
 
mashine zimebaki 2, kwa anayehitaji nichek hapa 0754669580 bei imepungua sasa ni 180,000/=
 
mashine imebaki moja anayehitaji anichek hapa 0754 669580
 
mashine bado ipo imebaki moja anayehitaji anichek hapa 0754 669580
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom