Recent content by emmauel

  1. E

    JamiiForums Tanzania UKAWA hamkujipanga kwa ajili ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Wewe kuwa mpole malofa tutaamua mwisho wa ck
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sept mosi hiyo, wataalam wa hii forum mmejiandaaje?

    Hakuna shida mzee
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nina mtoto was miaka mitatu na nusu anatatizo la amoeba sugu yaani anatumia flagile ya maji kila anpokutwa na ugonjwa hutulia kwa muda kisha hujirudia tena,naomba ushauri wenu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Tupeni ratiba ya kesho kuanzia SAA ngapi?
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Prof. Peter Mohamed Msolla: CCM itatawala, kuanguka labda miaka 50 ijayo

    Hakuna marefu Yasiyo na mwisho,KANU iko wapi?Nenda Zambia,usijidanganye chochote chaweza kutokea
  6. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kitambi hii hapa

    Good a
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natamani lowasa aende kujitambulisha mkoa wa mara.

    Mara in UKAWA tupu asikwambie MTU cc ndio wadau
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais sharti awe mwanachama kwa angalau miezi 3?

    Cyo redio Uhuru Bali in redio ccm,propaganda kibaooo......
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yanga: Mmeokota wapi hawa mafowadi?

    Wanayanga hatuna ushabiki wa msisimko wala hatuna papara,yawezekana ukawa c mfuasi mzuri
  10. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupima umeme

    Jamani naomba msaada wa kufahamu no apk gani inayotumika kupima kiwango cha umeme kinachoingia kwenye simu?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Geita, afanya vitu vyake

    Watanzania sasa in wakati muafaka was kupima his a zenu za akili
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tume yaahirisha uandikishaji Arusha

    Sheria ichukue mkondo wake
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kuvimba mwili baada ya kunywa dawa za flagile

    Wanajamii wenzangu naomba mnieleweshe inakuaje mtoto nampa dawa za flagile halafu mwili unavimba wakati amepimwa na ameonekana ana amiba?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya dawa za minyoo ya albendazol na mabendazol ni ipi

    Jamani naomba msaada wa kitaalamu kuhusu hizi dawa
  15. E

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nielewe kazi ya es-exproler

    Ndugu,mkwawa naomba unijuze zaidi kuhusiana na apk hiyo,
Back
Top Bottom