john kenge
Member
- Sep 19, 2011
- 17
- 7
- Thread starter
- #41
Ila sasa huyu mzee naye sifa....kwa nini kila anapokwenda kunatangazwa??akina muhongo nchemba na wengine mbona wanafanya mambo yao kimyakimya??
Kujitangaza huku ndo kunafanya anafuatiliwa kila unyayo...akienda chooni au akipumua inatangazwa....au kuna ukweli kuwa ndiye tumtarajie???
Kuwa muwazi humu JF kuna threads lukuki kuwahusu Dr Slaa,Makamba,Muhongo,Prof Mwandosya,Mnyika nk iweje za Mh EL ziwe nongwa?
Heri asiye na mashaka nae!