Unajua watanzania tulishazoea kuonewa,wafanyabiashara walinunua korosho kwa wakulima kwa bei ya ulanguzi na kumnyonya mkulima ili waje wanufaike na bei nzuri ya serikali sasa serikali imeshtuka inataka lazima mkulima ndie anufaike na bei nzuri ya korosho,wewe kama lengo ilikuwa ni kupiga pesa...
Natafuta nafasi ya Ualimu wa Chuo cha Ualimu,elimu ni Bachelor degree of Education,with Arts Masomo ni History Kiswahili ingawa ninauwezo wa kufundisha masomo mengine mawasiliano +255744189384
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.