Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote ..

Ata nkikutana na mtu wangu sitaki ata anisogelee nakeleka sitaki ata romance ata sex siinjoy wala siiwazi tena...
Afu Niko mkavu jaman ivi nifanyeje feelings ziludi maana nmetoka nje ya mstari kabsaa ata sex mpka tutumie vilainishi ndo tufanikishe zoezi. ..
Msaada wenu jaman nimepoteza nyege zangu..
Njoo huku tutete
 
Naomba ubadili Mfumo wa kula, pendelea kutumia Nazi kupikia, parachichi kwa uwingi. Naomba vyakula vya Sukari na wanga kiasi upunguzi. Inawezakana ndani ya mwili Kuna mpambano mkali unafanyika umeelemewa na vyakula vibaya. Mwili wa mwanamke ukiwa na mchafuko mkali kuelemewa na vyakula vby Kuna vivimbe ujitokeza.
 
Tobaa c ndo kansa zenyewe izo ntabadili mkuu nmeogopa...
 
Back
Top Bottom