Wakuu! Hivi Kama nimechaguliwa course ambayo sijaipenda naweza kubadilisha kabla Sija confirm na nikachaguliwa tena kwa ile ninayoitaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Big match!!! ila lazima chelsea tujitahidi kwa kutumia udhaifu ya beki ya city ktk kutengeneza nafac bila kusahau ubora wa kikosi cha gurdiola ktk kiungo na forward line!!! ila Chelsea kwa sasa tupo on fire kila idara;
Adhabu inampasa lkn kusoma ni haki yake ya msingi, wengine wameingia hatiani bila kukusudia na unapomnyima aendeleze mission yake unategemea kutengeneza nn kwenye ubongo wake km x jambazi!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.