Abdulkayyum
New Member
- Sep 4, 2018
- 1
- 0
Ahsantn
God is the source of human being.What's are the source of human being?
Lita moja ya nini?, Maziwa,maji,au kimiminika gani?SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
Toa mchoroPembetatu pacha, angle ya juu ndani ni thamani ya'y' na angle mbili za ndani chini ni pacha, pia angle ya nje upande wa pacha ni thamani ya'3y' tafuta thamani ya 'y'
Due to impurities found in waterWhy water expand abnormal?
Kiswahili kama lugha hakina alfabeti mbili tu. Labda useme kwamba alfabeti za Kiswahili zimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni Konsonanti na Irabu.katika kiswahili kuna alfaberti mbili ni zipi hizo wakuu? msada!
Tafuta pass port, ukipata anza kutafuta hizo scholarship ila ushauri jitahidi ufanye degree ya kwanza hapa nyumbani alafu masters ndio utafute scholarship maana scholarship za degree ya Kwanzaa si nyingi sana Kama degree ya piliN vitu gan vya msingi ukihitaji kuomba scholarship baada ya kumaliza form six.... Tafadhal naomben msaada
Kiongozi jarbu kufuatilia kwenye OPEN UNIVERSITY...Naic anaweza jiunga ..lkn kwanza nenda kwenye ofisi zao wakueleweshe ..wako Tanzania nzima.karbuNaombeni ushauri kuna mdogo wangu kamaliza kidato cha nne na ana ufaulu wa kiswahil D, English C, Na History D. Je anaweza kujiunga na chuo kwa alama hizi alizopata.