Recent content by Emmanuel Mlingi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nini Lengo la kuoa au kuolewa?

    Ni maumbile siyo binaadamu tu ndiyo wenye wenza wa maisha kuna wanyama na hata ndege wenye wenza wa maisha yote kwa hiyo tunaoa na kuolewa kama hatua katika maisha watoto ni majaaliwa zamani ilikuwa vigumu sana kujua mwanaume ana matatizo ya uzazi kwa sababu kwa baadhi ya makabila ilikuwa ruksa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo vingefanyika kama Mungu angekuwepo kweli

    Hayo yoote ni mafundisho ya Biblia na Quran . Na yote ya na tupeleka kwenye mwisho wa fikra zetu kwamba ukifikiri sana zaidi ya kilichoandikwa wameweka limit na kuiita DHAMBI .Lkn binadamu anafikiri na kuuliza na ndiyo mwanzo wa madhehebu mbalimbali kwa hiyo Mungu ametengenezwa na mwanadamu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Paul Makonda kuwa RC wa Dar, unastahili

    Upinzani wanafikiri fujo ndiyo upinzani basi moto yake petroli watanyooka tu hata wakishika manispaa zote na jiji
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hivi ninaweza kupata usafiri wa magari ya magazeti?

    Njoo ubungo mataa petrol station kuanzia saa tano usiku tunapita
  5. E

    JamiiForums Tanzania Alihukumiwa kwa kosa la kuua, baada ya kifungo amemkuta hai akamuua, je atahukumiwa tena?

    Mfano wa kuhesabu hukumu usiku na mchana ni kesi ya mramba hukumu ya miaka 3 inaisha October 2016 je kwa miaka ya kalenda ni mitatu kweli
  6. E

    JamiiForums Tanzania Gilla anusurika kufa maji

    Ningekuwepo ningemkamua mpaka sehemu sehemu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Joto Dar

    Mabadiliko ya tabia nchi ni kitu cha kawaida joto sana baridi sana nk. Yote haya yanatokea na dunia inazidi kuumbika maziwa makubwa yanakauka na misitu inakauka kwa upande mwingine baada ya hili joto zitakuja mvua nyingi na mabwawa mapya yatajitokeza mito mipya itatokea yoote haya ni...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi la Luwinzo, Dar-Njombe lagonga lori na kusababisha vifo

    Pole kwa waliopoteza ndugu zao
  9. E

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya kama kijiji

    Wanga tu
Back
Top Bottom