Hongera Paul Makonda kuwa RC wa Dar, unastahili

Doto Dotto

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
3,901
2,895
Ni kutokana na utendaji wako uliotukuka kwa kipindi kifupi sana cha mwaka mmoja ukiwa hapa kinondoni. kazi zako, juhudi, utendaji wako, uchapakazi wako ndio vimekupa kibali mbele za mungu na mbele ya Rais, kuwa unafaa kuwa mkulu wa dar.

Sasa ongeza bidii, makali yako yoooote yahamie kwenye cheo chako kipya. kila la kheri Mungu na akutangulie

Wapiga kelele kina kubenea na wengine kaeni mguu sawa usiempenda kaja mtanyooooooka tuuuuu......
 
Mkuu hata mimi nampa hongera ni muda mfupi tangu amalize shahada yake pale MUCCOS na kuitwa itv kwenye vipindi kadhaa akiwa mwana UVCCM kindakindaki aliyefia chamachake.

Ghafla tukasikia ameteuliwa mbunge wa bunge maalum la katiba na huko alitabiri Samia suluhu kuwa makamo wa Rais katika uongozi ujao jambo lililotimia sawa na kauli yake.

Mahudhurio yake pale Ubungo plaza kwenye midahalo ya Mzee wetu a retired Hon.Judge Sinde Joseph Warioba akitoa elimu na pia kasoro juu ya suala zima la rasimu ya katiba na baadae katiba pendekezwa. Mzee huyu mkongwe akiwa na team yake ya.Prof.Palamagamba, Polepole, Mwanasheria wa Zanzibar, etc.walijitahidi kutuelimisha sana Mungu awabariki. Ghafla tukasikia juu ya uteuzi wake wa Ukuu wa wilaya ya kinondoni.

Tuliona kikao cha Mh.Rais JPM na wazee wa dsm na kusema ndg yetu amejihakikishia nafasi katika uteuzi wa wakuu wa wa mikoa na wilaya wapya na kweli leo yametimia..........Ghalfa ameteuliwa ukuu wa mkoa wa Dar es Salaam

Pamoja na mambo mengine mengi yaliyopita na figisu-figisu nyingi juu yake na pia yeye kama mwanadamu anamapungufu yake,lakini jamani tuacheni utani huyu kijana ana bahati sana,na pia MUNGU AMEMFUNGULIA MILANGO YA BARAKA. Kuna maamuzi mengine kweli tunayaona anayafanya kwa hasira kwa mtu kama yeye na wadhifa alio nao hapaswi kuwa na hasira katika maamuzi kwani kauli yake moja anayotoa ina athari kubwa kwa jamii anayoiongoza.Na athari may be positive or negative.

Mh.Makonda kuna hoja nyingine tunatofautiana humu jamvin ni kawaida "Different ideologies fasten economic growth of a particular state" by Adam Smith & Fredric Angels in the book "The Enquiry into Nature and Causes of Wealth of Nation" .

USHAURI WANGU KWAKO:
Aanza uongozi wako mpya bila kuwa na visasi wala malalamiko kwa jamii unayo iyongoza;

1.Weka shinikizo bila kujali uko chama gani uchaguzi wa meya dar ufanyike bila askari kuwazingira waheshimiwa wabungwe na madiwani kama ni wahalifu wa kiwango cha juu kwani kwa kuangalia namba hakuna jinsi watwala itabidi tu wakubali kufanya kazi na wapinzani kwenye jiji la dsm na wewe ujiandae tu kufanya kazi na meya wa upinzani mbona inawezekana Mh.?

2.Futa au maliza kesi huko mahakamani haipendezi mkuu wa mkoa kuwa na makesi kila wakati kuhudhuria kesi ambazo hazituletei maendeleo nchini tena kesi wewe na mbunge wa mkoani kwako.

Muite Mh kubenea officn kwako uongee naye hawezi kukataa.Wekeni mambo sawa kwa mustakhakabali wa taifa letu.Sisi tunawapenda wote.achaneni na hao wanaowashauri muendelee kugombana,nyie ni wanaume fanyeni "private mediation" imean-bila mediator mmalize wenyewe mpeleke taarifa mahakamani.

Ugomvi basi sasa tunataka maendeleo. Mwanaume hasifiwi kwa kugombana wala kushinda kesi za ugomvi mahakamani mwanume anasifiwa kwa maendeleo yanayoonekana na jamii inayomzunguka

3.Weka msimamo wako kama ulivyoanza zile barabara za kupitia makumbusho na ile ya goba ni jipu malizia utumbuzi usimuachie mkuu wa wilaya mpya anaweza kuwa mgeni na asiendane na kasi yako akakuharibia.

4.Kila kukicha endelea kuwa mbunifu na mbinu za kusaidia wananchi wako kwenye mkoa wako wa dsm na hata nchi nzima kwa ujumla bila kujali yupo ccm,chadema,nccr-mageuzi wala cuf na nk.Rais wako aliyekuteua uRc alisema hadharani "Mimi ni rais wa Chadema,ccm,cuf,nccr-mageuzi,adc,nld na vyama vingine vyote, kwani maendeleo hayana chama" akifunga kampeni mwanza. Oct.23,2015.Na pia hapa chamsingi ni maendeleo haya mavyama-vyama si yakuangalia sana- Mkutano wa ushirikiano wa Africa mashariki na kusajili mwanachama mpya Sauthern Sudan 2016

5.Mwisho lakini siyo kwa umuhimu ni kwa leo tu,hivi Mh.huko chuoni na mpaka kipindi unatumikia ukuu wa wilaya bado hujaona mwenzio? mimi sina uhakika kama umeoa kama umeshaoa basi lakini kama bado,kindly do something kwa nafasi uliyo nayo mke ni sehemu ya heshima kubwa sana fanya hima Mh.

NB:Watanzania tuache utani tuwe wakweli pamoja na mambo mengine huyu jamaa kazi anaweza na pia ni mbunifu ukifuatilia wakuu wa mikoa na wilaya wengi waliopita sio wote lakini kwa asilimia kubwa zaidi ya kusimamia shughuli zilizopo kwenye Job description-JD yake,kuhudhuria vikao vya kamati ya ulinz na usalama ya mkoa,kuzuia maanadamano ya wapinzani na kuzindua matawi ya bank hawana jipya. Just in one year see how the guy amefanya kazi yake....Hongera Mh.Makonda tunatarajia mengi kutoka kwako
 
Ushuaia MauriceMaurice
 
Hakuna cha utendaji silaha kubwa NI KUJIPENDEKEZA
Ukijipendekeza Na ukistahili utapendwa tu.
Ina maana wewe hujawahi kujipendekeza? Hata kwa mpenzi wako ili akupende?
DC Makonda chapa kazi wanaKinondoni tutatoka tu.
 
Ni kutokana na utendaji wako uliotukuka kwa kipindi kifupi sana cha mwaka mmoja ukiwa hapa kinondoni. kazi zako, juhudi, utendaji wako, uchapakazi wako ndio vimekupa kibali mbele za mungu na mbele ya Rais, kuwa unafaa kuwa mkulu wa dar.

Sasa ongeza bidii, makali yako yoooote yahamie kwenye cheo chako kipya. kila la kheri Mungu na akutangulie

Wapiga kelele kina kubenea na wengine kaeni mguu sawa usiempenda kaja mtanyooooooka tuuuuu......
Sasa si upongeze tu kubenea kaingiaje hapo kwanza nafasi izo za vimemo sio sawa na za kuchaguliwa na wananchi , kwanza nashangaa mtu hana hata degree anakkua mkuu wa mkoa sijui tunaenda wapi tulitegemea tupewe wasomi wasio na hulka za kisiasa waweze kutusaidia mana kiongozi wa nafasi iyo lazima awe na vitu viwili
1.Uwezo wa kufanya kazi na watu wa aina zote

2.Ubunifu na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi

Uyu mtu hana hata kimoja zaidi ya kutumia nguvu ya nafasi yake kikazi
 
Hakuna cha utendaji silaha kubwa NI KUJIPENDEKEZA
Basi na wewe jipendekeze

Back
Top Bottom