Recent content by Emmanuel mgonza

  1. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Wana JF ushauri wenu utakuwa nuru ya maisha yangu

    Asee, mkuu pole Sana, Kwa maelezo yako wewe unaugonjwa wa hofu na ukosefu wa Imani. Apo Cha kukushauri, 1. Acha nyeto ni mbaya Sana iyo na ndo inayokujengea negative mindset, hofu na kutokujiamini. 2. Zingatia Sana ibada muombe Sana MUNGU maisha bado hayajaisha Aya unakosa vitu vizuri sanaaaa...
  2. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood lapata ajali asubuhi hii Aprili 23, 2023, Dereva akimbia

    Mungu awawezeshe wote wawe salama🙏🙏🙏🙏
  3. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Vifuatavyo anitafute upesi PM nivinunue hata kwa Tsh Milioni 5

    Brother wewe ni mganga tuelewe kwanza
  4. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Soma unaweza jifunza kitu: Jinsi graduate nilivyopoteza 1.8M niliyoitafuta kwa jasho

    . Pole Sanaa mtumzima apo kikubwa simama na uendelee kupambana Tena. Iyo life lesson pambana muda bado unao kikubwa uzima
  5. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Anhaaaaa apo unitafute mkuu
  6. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Tafuta mtaji uanze ata kubet online Kama option ya pembeni. Ila forex ipo vizuri sanaaaa but unahitaji muda mrefu kijifunza, kuielewa na kupigwa ela ila ukisha elewa ndo umshukuru piece maker.
  7. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Soon watu wataanza tembea pekupeku kwa kupaka rangi miguu walisema fashion
  8. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Nakubali mkuu shida akivaa mtu maarufu Kama diamond
  9. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Big Red Boots, viatu vilivyotrend mtandaoni bei yake imefikia Tsh. Milioni 3.9

    Wewe Kama was kanisani Sana utaona Ayo no madumu
  10. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2 nifanye biashara gani ili nipate faida?

    Kwa ushauri fanya biashara ya mgahawa apo SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE chakula kinatoka Sana maana kwa hicho chuo bado uhitaji wa chakula kwa wanachuo ni mkubwa kikubwa 1: Fanya huduma yako kuwa tofauti na migahawa mingine. 2: Unaweza fanya ata delivery kwenye colleges ambazo zipo apo...
  11. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

    Sidhani hiyo Kama ni sababu kubwa ila nadhani hapo Kuna shida sehemu.
  12. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

    😂😂😂 Hiyo tunaita mteja ni mfalme.
  13. Emmanuel mgonza

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Na kwenye top ranking za maeneo yanayoingiza mapato makubwa ya serikali mafinga ipo huwezi linganisha na kahama
Back
Top Bottom