Recent content by Emmanuel Malima

  1. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Gundu la kinyesi

    Mkuu upo sawa kabisa mimi baada ya kumaliza ujenzi siku ya kuhamia tulikuta kinyesi kibichi sebuleni nailihali milango na madirisha vikiwa vimefungwa wajuzi wa mambo wakaniambia hilo nibalaa tusiingie wala kukitoa mpaka tupate mtaalam wakimaanisha mganga lakini badala yake nilitafuta wachungaji...
  2. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Kejeli Time

    Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
  3. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Supastaa alambiwa mke wake kwa stori ya zimwi

    [emoji28][emoji28]
  4. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Redio aina ya Sony yenye spika sita inauzwa

    Mkuu kama bado haijauzika ni pm no.zako tuwasiliane
  5. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Duuuuh

    Hapo cha msingi nikuzificha zote tu
  6. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Miezi tisa ya urais, Magufuli ameenda Chato mara mbili

    Jamani mwenda kwao si mtumwa
  7. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi Kanda ya Kusini walivyoipokea UKUTA

    Hao wanatishia kujamba wakati wanaharisha
  8. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Daktariii.....

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Vodacom njooni hapa mnipe msaada wa haraka

    Hawa jamaa kwa sasa wamekua tatizo mimi tarehe 12/7 nilihamisha pesa kutoka mpesa kwenda ac ya bank uhamisho ukakamilika na pesa wakanikata tarehe 16/7 wakazichukua tena hizo pesa kiasi cha sh.330000 kwangu hazikurudi na bank hazipo
  10. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Hii 18% VAT mbona inatuumiza sana wananchi?

    Ngoja tuisome namba na huu nimwanzo tu.
  11. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kumfukuza mtumishi wa umma kwa kosa la dereva wa basi itakua sio sahihi dawa nikumfungia dereva husika leseni yake kwa angalau miaka isiyopungua sita ili arudi shambani akaendeshe jembe.
  12. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kugusa sana

    Akamgusa mpaka mwisho
  13. Emmanuel Malima

    JamiiForums Tanzania Hebu cheka kidogo

    Kimeshakucha amka uende shule
Back
Top Bottom