lopinavir
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 186
- 121
Hii 18% VAT,mbona inatuumiza sana wananchi?.....!!!japo nchi inajengwa na wenye nchi,hii ya kwetu kodi zinaenda kutuzidi wananchi..
-Mfano kiingilio katika mbuga za wanyama kwa local zilikuwa ni 10000/ kwa mtu mzima,sasa hivi ni 10000/ + 18% VAT ada ya kiingilio cha gari + 18% VAT ,kwenye mabenki 18%VAT,kwenye mitandao ya simu 18% VAT,
-Nimesikia pia wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya bugando mishahara yao inapunguzwa kwa sababu tu ya kisingizio kuwa mishahara yao ilipangwa kimakosa.....
-Sisi ndio wajenga nchi na tunao uzalendo wa kuijenga kwa maana hayupo mwingine yeyote atakae kuja kutujengea nchi yetu...
-Tazito kodi zimezidi kila sehemu,serikali angalieni utaratibu mwingine wa ukusanyaji wa kodi,wananchi tunaumia.....