Recent content by Emmanuel David jr

  1. Emmanuel David jr

    Event ya kutanisha watumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii wanaoishi Bongo

    Daaaah wamikoani mmeamua kututenga ....tumeisha ikosa hiyo sasa. ..
  2. Emmanuel David jr

    Kwa ulichotufanyia hiki Waziri wa utumishi wa umma angellah kairuki sitakusahau kamwe!

    mpuuzi sana huyo mbibi. ..ila mmewe Pomb@ ndo firauni zaidi hawezi kutuweka mtaani hivi ...idiots
  3. Emmanuel David jr

    PICHA: Huyu ndiye Mzee aliyeweka tangazo la kutafuta mke

    Ama kweli ng'ombe hazeeki maini...
  4. Emmanuel David jr

    Tujadili :-Athari za Uchaguzi mdogo wa Madiwani katika Halmashauri na uchaguzi wa Ubunge (Znb)

    Umejitahidi kuipanga....Tatizo elimu ndo mapungufu yaani tunapelekwa pelekwa tu, Elimu elimu elimu....
  5. Emmanuel David jr

    Ajira ya ualimu Kinondoni, Ubungo kwa waliosoma sayansi na wanaweza kufundisha, walimu wastaafu

    Yawezekana maana hakuna media kubwa yeyote ilitoa taarifa hizo
  6. Emmanuel David jr

    Nguo ya ndani ya mke wa Hitler yapigwa mnada

    Heeeeh kumbe upo hai???....Mkeo mzma???
  7. Emmanuel David jr

    Kuna diploma holder yeyote kapata mkopo had sasa

    Nilivyosikia hivyo tu ...Chuo nikamuachia Pombe na mkewe wasome maana wanaona nafaidi sana....shwaini...
  8. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Vipi suala la kuzuia mikutano ya kisiasa nalo limo???
  9. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Ata mimi nimemsikia eti anasema bakuli la ubwabwa bado tsh 1500..yaani ni ukilaza tu...
  10. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Hapana mkuu mimi siyo Tido mhando nilikuwa natolea ufafanuzi tu boss...
  11. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Daaaaah haya majibu jamani!!...eti yanatolewa na rais duuuh.....!!!!
  12. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Na mimi ngoja nisahau shida kwa muda...(jina lako limesimama magu heeeee)
  13. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    NDONDO CUP....huyu jamaa anaundugu na Luge...Fiesta +Ndondo
  14. Emmanuel David jr

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Teteteteteeeehhhh.....katia huruma mwisho wa siku kalimaliza mwenyewe...maswali hakuna tena.....HAKUNA JIPYA YAANI HADI NIMESAHAU CHAI KWA UPUUZI TU....
Back
Top Bottom