kurutu wa opp malela
Member
- Dec 25, 2016
- 63
- 83
Sisi vijana 3000 uliotuajiri mwezi June 2016 na kutuachisha kazi bila hatia tuliajiriwa kwa njia halali hadi sasa huu mwezi wa sita tunasota mitaani bila kosa lolote mlitusainisha mikataba ya kazi na kutulipa pesa za kujikimu kisha kusitisha ajira zetu bila kufata utaratibu maalum mlitwaajiri kwenye kanda za Mahakama ,mikoani nk Leo hii naibika mitaani kwa ajili yenu viongozi naonekana kama ni Nina vyeti feki nimetumbuliwa kweli masikini haki yake iko wapi ??? Mmeniharibia malengo yangu familia yangu inalala njaa kweli mmekoswa huruma kiasi hiki ?? .