Recent content by EmmaGMangwela

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa bomoabomoa: Heri ya Musa kuliko Firauni

    HERI YA MUSA KULIKO FILAUNI.. Najitahidi kutafakari hii kauli bila majibu..Je,hawa wahanga wa bomoabomoa wanamaanisha nini? Musa ni nani? Na Filauni ni nani? Nawasilisha..
  2. E

    JamiiForums Tanzania Alpha High School, je hamjui kuna bei elekezi?

    Unapenda sifa sana Wewe...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Alpha High School, je hamjui kuna bei elekezi?

    Unapenda sifa sana Wewe...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Lowasa bado anawatafuna mioyoni mwenu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ikulu yamshangaa Dk. Mahanga

    Adui kivipi Mkuu? fafanua bas acha maneno mengi..
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM hawampendi Mbowe?

    Katika watu walioongea pointi siku nzima ya leo ni wewe boss...karibu tule kitimoto mkuu.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    Huyu atakuwa ni mtoto wa babu seya..kikwete hana mtoto tahira namna hii.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya neno 'NIMECHINJA TAYARI' kama linavyotumika siku ya leo.

    Kama ni hivyo bas tena
  9. E

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya neno 'NIMECHINJA TAYARI' kama linavyotumika siku ya leo.

    Kwa leo lina maana gani?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya neno 'NIMECHINJA TAYARI' kama linavyotumika siku ya leo.

    Nimekutana na watu kama sikosei hawapungui 20 mpaka sasa waliokwishapiga kura mpaka muda huu..Neno 'NIMESHACHINJA TAYARI' Limetawala vinywani mwao. Je,neno hili lina maana ya moja kwa moja likiwa linamaanisha mtu kupiga kura tayari au lina maana kuwa mtu huyu kampigia kura mtu fulani...
  11. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Ikulu sio pango la ukoo,wala sio la udugu.
  12. E

    JamiiForums Tanzania GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Kila siku nimejenga barabara Kila siku unatuambia idadi ya kuku,mbwa,bata,samaki,ng'ombe,mbuzi na kondoo. Kila siku unatuambia unawajua mafisadi ila huwataji. TUMECHOKA! TUNATAKA UTUAMBIE MUSTAKABALI WA KATIBA YETU..HAYO YOTE UNAYOYASEMA PASIPO NA MABADILIKO YA KATBA WEWE BADO NI ZERO KWA...
  13. E

    JamiiForums Tanzania NEC hongereni sana kwa hili! Na mtende haki kweli kweli

    Huu ni mchongo
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Zitto anafadhiliwa na wanaccm..iweje iwaponde ilihali wanakula na kulala pamoja??
Back
Top Bottom