Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Ndio bado ni too local,CHADEMA Mgombea Urais imeazima CCM, Makamu imeazima CUF, na baadhi ya ubunge imeazima CCM, kama bulaya, Mkumba n.k,amefanya jipya gani,bado AKILI YAKO inasubili kuwaziwa na MBOWE, alikuambia Lowasa fisadi,nyote mlikubali,Leo kakuambia sio fisadi umekubali,na hapo Halimashauri unajiona msomi,kuna uzi wako humu ule ulimnukuu Mbowe, kuna mdau alikuuliza je una la kueleza kwa sasa,ukasema unakaa pembeni unaangalia picha linaendaje,kwahiyo umekula matapishi yako,kama Nchi yetu Ina vijana kama nyinyi,Taifa Lina hasara
 
Mbowe hana mpango na uwaziri mkuu Ndio maana kaamua kuuza cdm mapeme awaone mtasema nini tena.
 
jamani kuna jambo moja lina nitatiza sana kuhusu zito Kabwe...hivi huyu jamaa kasimamia wapi? CCM au upinzani? maana naona juhudi zake zote ni kuhakikisha anaudhoofisha upinzani na sijui hasa lengo lake ninini... wakati wenzanke wanahangaika kuleta mabadiliko yeye yuko busy kuwakwamisha.. sasa najiuliza hivi huyu ni mtanzania kweli? nakumbuka kipindi yuko Chadema alitaka kufanya mapinduzi kwa kile alichokiita mfumo mbovu wa uongozi na alimuhusisha dr slaa kati ya viongozi wabovu.

sasa zito huyohuyo anawashambulia wanaomkosoa dr slaa kisa tu dr kanunuliwa na CCM basi kawa rafiki wa zito! jamani zito where is your stand? na kwa mfumo huu zito unapoteza credibility yako...hufai hata kuwa msimamizi wa mradi wa kuku kama huu ndo mfumo wako wa maisha
 
Mdio shida ya kuruhusu raia wa kigeni kuingilia siasa za ndani. Huyu jamaa tumeshaambiwa ni Mkongo na Uhamiaji hawamshughulikii tuu kwa sababu amekuwa ni kifaa kinachotumika na watawala kwa malengo yao.
Lakini nimtahadharishe Zitto kuwa ni vyema zile hela alizopewa za pension ya Ubunge na zile zingine za zoofisha Chadema akazipeleka Kisangani au Goma kujenga nyumba ya kuishi huko kwao.
 
Watu wenye akili ndogo kama wewe ndio mnaoharibu radha ya Jukwaa la Siasa.
 
Uwe unaweka na ushahidi wa hayo unayoasema mkuu, sio unalalama tu, kila chama cha upinzani lengo lake ni kushika hatamu, so lazima ampiganie mgombea wa chama chake.
 
Sio lazima usapoti upumbavu, LAZIMA uweke utaifa mbele kwanza mengine baadae!
 
Watanzania ndio wajinga: Kupumbazwa na madalali wa kisiasa badala ya kuwaadhibu watu wa kariba ya zzk wao wanawachekea chekea utadhani wanawake wenye pepo la mahaba (isomeke ngono ktk tafakari)
 
Kwa hiyo hata kama mnafanya madudu asiseme kwa vile atakua anadhoofisha upinzani..?
 
CCM Ilipandikiza watu wengi Upinzani

Na EL anawajua wote

Mwaka huu tuna serious Opposition
 
jamani kuna jambo moja lina nitatiza sana kuhusu zito Kabwe...hivi huyu jamaa kasimamia wapi? CCM au upinzani? maana naona juhudi zake zote ni kuhakikisha anaudhoofisha upinzani na sijui hasa lengo lake ninini... wakati wenzanke wanahangaika kuleta mabadiliko yeye yuko busy kuwakwamisha.. sasa najiuliza hivi huyu ni mtanzania kweli? nakumbuka kipindi yuko Chadema alitaka kufanya mapinduzi kwa kile alichokiita mfumo mbovu wa uongozi na alimuhusisha dr slaa kati ya viongozi wabovu.

sasa zito huyohuyo anawashambulia wanaomkosoa dr slaa kisa tu dr kanunuliwa na CCM basi kawa rafiki wa zito! jamani zito where is your stand? na kwa mfumo huu zito unapoteza credibility yako...hufai hata kuwa msimamizi wa mradi wa kuku kama huu ndo mfumo wako wa maisha

Uwe na aibu kidogo maana uso umeumbwa na haya. kwani sarakasi za Mbowe na akina Lissu huzioni? waliosema Lowasa ni fisadi ni akina nani? na leo wanaosema sio fisadi ni akina nani? sasa nani kapoteza credibility kati ya Zito anayesimamia ukweli na kile anachoamini au hawa viongozi wachache wa chadema?
 
CHADEMA Ni chama makini....Subiri uone
 
Back
Top Bottom