Wahanga wa bomoabomoa: Heri ya Musa kuliko Firauni

EmmaGMangwela

Senior Member
May 11, 2015
139
54
HERI YA MUSA KULIKO FILAUNI..

Najitahidi kutafakari hii kauli bila majibu..Je,hawa wahanga wa bomoabomoa wanamaanisha nini?

Musa ni nani? Na Filauni ni nani?

Nawasilisha..
946453_1269826573033406_4124492162283056716_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Leo katika pitiapitia ya magazeti nikaona bango moja kati ya yale ya Jangwani limeandikwa "Heri Musa kuliko Firauni"

Kwakweli bango hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana ambayo kwa hakika hayana majibu!

Swali la msingi: nini maana ya ujumbe huu wenye hisia kali?

Rai yangu kwa serikali ya Magufuli ijielekeze kuwasikiliza wananchi hawa! Kwakweli wapo miongoni mwao wanaolia machozi ya dhati kabisa!
 
Mazungumzo ya musa na firauni.
Musa: MUNGU amenituma kuja kuwachukua wana wa israel waende nchi yao. wapambe wa firauni walistaajabu kuona musa ameongea na MUNGU.
Firauni: musa musa mbona muongo hivyo nimeongea na wewe lini. wapambe wafirauni wakashangaa sana kuona kwamba kumbe MUNGU mwenyewe ni firauni. firauni alikuwa mtu wa kujigamba sana hakuwa MUNGU.

ki serikali watu watakuwa wameanza kukumbuka utawala uliopita.
 
Mimi nadhani walitakiwa waandike "heri ya Firauni kuliko Musa" yaani Musa anayetupeleka nchi ya ahadi anatutesa kuliko Firauni aliyetutumikisha huko tulikotoka.
 
I counted this man could do something ingawa kwenye kampeni nilimwamini EL na kumpa kura pia...

Mwanzoni alianza vizuri, akanipa moyo kwamba hapa sasa tumepata Rais atakayetupeleka tunakokutaka.. Nilifikia hata kuwabeza wale waliokuwa wanamshambulia...

Lakini tangia aende kwenye ule mkutano wa CC ya CCM.. Kabadilika, nguvu umepungua, anafanya mambo kwa kurupuka, akatuchagulia baraza la mawaziri la ajabu ajabu, hapo ndipo nikatoa karata yangu kwa huyu mtu...

Nchi imekuwa ni Dar Es Salaam na bandari pekee... Huko kwingine hajafika na wala sidhani kama ana mpango wa kufika any time soon... ATC, Utalii, Madini na Gesi, Umeme huku kote ni kama amekupuuza.. Hawa wa Unga alioapa kula nao sahani moja ndio tuliletewa majina 500 wakati bado tunaona Punda wakipita kila siku pale Mwl Nyerere... Magufuli wewe ni Rais, ni mkubwa kuliko hicho kinachoitwa CC au CCM... Kutumbua majipu wakati waizi umewarudisha kwenye Baraza ni kuchezeana akili tu..
 
wewe wa wapi wewe?
 
Njoo PM nikupe video wakati namshughulikia enzi hizo..

Hata kama ziko kwenye Black and White nadhani utamtambua tu..
mbona unajitetea sana? weka hapa hapa hata vidoo unayomgegeda mkeo tuone. nakufahamu tokea uzaliwe wewe si lijali
 
HERI YA MUSA KULIKO FILAUNI..

Najitahidi kutafakari hii kauli bila majibu..Je,hawa wahanga wa bomoabomoa wanamaanisha nini?

Musa ni nani? Na Filauni ni nani?

Nawasilisha..
View attachment 315014
Hivi neno wahanga lina maana gani? Mimi linanichanganya, nilidhani hapa neno sahihi ni wa athrika wa bomoa bomoa na si wa hanga wa bomoa bomoa
 
waathirika wanaweza wakawa wengi zaidi kuliko wahanga. hata mtu aliyeko nje ya dar akasikitika na kusononeka huyo nae ni mwathirika wa bomoabomoa ila huwezi kumwita mhanga. mhanga ni yule anaeguswa moja kwa moja
 
Sisi wengine tulisema zamani kuwa hiyo ni vinyo mpya ktk chupa ile ile ya zamani tukaambiwa kuwa hatupendi maendeleo sasa mtayaona mengi tu ya kushangaza yakifanyika ktk hawamu hii ya kazi tu
 
TZ imejaa ma K. mitoto ya mama inayokula nyumbani hadi leo. wenzenu wana vunjiwa nyumba zao ninyi mnasema maendeleo? unajua ni kiasi gani hao watu wanateseka? fikiria watoto wao wako kwenye hali gani. afrika haiendelei sababu ya ubinafsi na upumbavu. watu wanajifikiria wao tu. pumbavu kabisa hii nchi imejaa viongozi vichwa vya kuku. eti ooh mafuriko yakija.... utadhani hata huwa mnajali yakija hayo mafuriko. pumbavu kabisa. serikali ianze utaratibu wa kujenga nyumba za bei poa kwa ramani nzuri na kuwakopesha hao watu wa mabondeni na sio kutuletea u pashkuna hapa. watu tushachoka na haya maisha bana....... endeleeni na huo upuuzi kunasiku mtakuta majengo ya ofisi zenu yako ardhini *****.
 
Last edited:
I counted this man could do something ingawa kwenye kampeni nilimwamini EL na kumpa kura pia...

Mwanzoni alianza vizuri, akanipa moyo kwamba hapa sasa tumepata Rais atakayetupeleka tunakokutaka.. Nilifikia hata kuwabeza wale waliokuwa wanamshambulia...

Lakini tangia aende kwenye ule mkutano wa CC ya CCM.. Kabadilika, nguvu umepungua, anafanya mambo kwa kurupuka, akatuchagulia baraza la mawaziri la ajabu ajabu, hapo ndipo nikatoa karata yangu kwa huyu mtu...

Nchi imekuwa ni Dar Es Salaam na bandari pekee... Huko kwingine hajafika na wala sidhani kama ana mpango wa kufika any time soon... ATC, Utalii, Madini na Gesi, Umeme huku kote ni kama amekupuuza.. Hawa wa Unga alioapa kula nao sahani moja ndio tuliletewa majina 500 wakati bado tunaona Punda wakipita kila siku pale Mwl Nyerere... Magufuli wewe ni Rais, ni mkubwa kuliko hicho kinachoitwa CC au CCM... Kutumbua majipu wakati waizi umewarudisha kwenye Baraza ni kuchezeana akili tu..
Politics as usual.

Jamaa anatumia nguvu nyingi na kukurupuka kuliko akili, may be sekta zingine zitafikiwa baada ya 2020
 
Back
Top Bottom