Recent content by Emily magnus

  1. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Usiku mwema!
  2. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tangu saa 4 nilikuwa na jamaa yangu tunapiga story. Ndo tumeacha dk 4 zilizopita. Playlist Dizasta Vina songs.
  3. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Kushuhudia mazishi yako ndotoni

    Inanitokea sana hii. Nakumbuka nimeota, ila sikumbuki nimeota nini.
  4. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Kushuhudia mazishi yako ndotoni

    Ndugu mshana, Mara chache naota nimemuona mwanamke, afu namfata alipo, tunafanya romance, ila kabla ya kusex nashtuka. Sijui kutakuwa na maana yoyote ile? Hata jana nimeota.
  5. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF

    Huna faida humu ndani. Nikajua umejiunga kwa ajili ya jamii forum, kumbe kwa ajili ya hao kwenye list! Sasa siungebaki out uendelee kuwasoma. Kwan mpaka ujoin?
  6. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Talaka ni kwa tajiri, kwa Masikini Utasikia Mke alikimbia

    Sina cha kusema.
  7. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatakia wikiendi njema

    Ila nadhani na hao mashem hawana akili.
  8. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatakia wikiendi njema

    Watu wanajisahau sana sijui kwanini. Afu wanaojisahau uwa hawajiewi.
  9. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatakia wikiendi njema

    Pesa ni chanzo cha chuki. Pesa inaimarisha upendo. Chuki inaletwa na binadamu, chanzo pesa. Upendo huimarishwa na pesa kwa binadamu. Chuki - upendo Maovu - mema Mabaya - mazuri Vyote huleta binadamu, pale anapopitia mhemuko wa hisia fulani.(furaha, huzuni, kicheko, kilio, n.k) Kufanya mema ni...
  10. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wateja kuuziwa vifungashio baada ya kununua bidhaa tena za pesa kubwa tu?

    Sio sahihi, kwa sababu mteja anatakiwa akinunua bidhaa, afungiwe kabisa.
  11. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatakia wikiendi njema

    Basi tutafute sehemu ya kutega pesa.
  12. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatakia wikiendi njema

    Bila pesa, hufurahii ushindi.
  13. Emily magnus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawatakia wikiendi njema

    Waungwana, haya maisha bila pesa hayaendi. Yaan pesa ni kila kitu. Vijana acheni kupenda na kupendana bila pesa. My ex girlfriend alinambia: "UPENDO SI PESA, UKINIPENDA NAMI NTAKUPENDA" Haya maneno alisema ukweli na kwa usahihi kabisa.Upendo haununuliwi na pesa, madini wala thamani yoyote...
  14. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

    Maelezo tafadhari.
  15. Emily magnus

    JamiiForums Tanzania Hodi! Hodi!

    Hapana.
Back
Top Bottom