La 7b mnaingiaaaHodi Hodi Twaingiaaa
Dada ake mbona umefika mbali? 😅Umalaya tu, huyu ni kijana mwenzio😆
Naona umeandika kimatashtiti sana mahaba mengi😂Dada ake mbona umefika mbali? 😅
Kumbe "K" sikuiweka! Hiyo "umenipoKeaa"UmeniPOEAA ndio kufanya nini?
huyu simfahamu, ila nambie wa wapi.Derick
Magnus
Kama n wakike, Njoo pm nikupe muongozo wa JF 😎Shkamooni wakuu! Nawasalimia me ni mgeni humu, nimejiunga juzi, ila JF nimeijua tangu mwaka jana. Mnikaribishe tafadhali.
kijana nazani wewe ndo umemaliza form 4 mwaka jana ?Seran... Derick yupi¿ nina kaka mtoto bamkubwa. Ila hatujuani namjua kwa jina tu.
17Una umri gani
Inasikitisha sanaKama n wakike, Njoo pm nikupe muongozo wa JF
Ahsante, nishakaribia kiongozi.Karibu
Umejuaje?kijana nazani wewe ndo umemaliza form 4 mwaka jana ?
jibu ndio, au hapana kisha nitakwambia nimejuajeUmejuaje?
Hapana.jibu ndio, au hapana kisha nitakwambia nimejuaje