Recent content by Emilia

  1. Emilia

    JamiiForums Tanzania Wapewa talaka kwa kuunga mkono CCM Zanzibar

    Kwani akikuacha ndio nini,huyo Mwanaume ni Mungu? Labda kama na wewe ni kula kulala,hujatengeneza mazingira ya kuwa na future yako mwenyewe,huna plan B.
  2. Emilia

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Du! Imekuwa bahati mbaya Sana.
  3. Emilia

    JamiiForums Tanzania Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Mbona mimi kwangu kuna sauti za mkwaruzo? Ni kwangu tu au na wengine...
  4. Emilia

    JamiiForums Tanzania Kuwa na gari ni dhambi? Kwa nini inapotokea ajali anayeonekana na hatia ni mwenye gari tu?

    Hawa ni wale watu ambao ukimfanyia wema unajionyesha,usipofanya una roho mbaya.Ni kuishi nao kwa akili.
  5. Emilia

    JamiiForums Tanzania Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

    Primary kasoma Forodhani,na alikuwa anafanya vizuri darasani,sikujua kumbe amefikika level hizi Dah! Tony!!!
  6. Emilia

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Hongera kwa kuzaliwa na mpu.mb.avu! Na umeoa/utaoa mpu.mb.avu!
  7. Emilia

    JamiiForums Tanzania Nimepata dawa ya wizi wa viatu

    Kweli...
  8. Emilia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibarua kizito kwa wanawake kupata wachumba Tanzania

    Hiyo idadi iliyotajwa kumbuka inajumuisha hata mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa usiku huo wa Sensa je wao utawaweka katika kundi linalohitaji kuolewa? Kumbuka watoto wote wa kike chini ya miaka 18 Tanzania nao wamejumuishwa kwenye hiyo idadi. Nadhani kuhusisha swala la wanawake kuto olewa...
  9. Emilia

    JamiiForums Tanzania Hongera Dida

    Dini yake inamruhusu.
  10. Emilia

    JamiiForums Tanzania Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Wazuri sana,yaani kuna mmoja macho yake yako perfect!
  11. Emilia

    JamiiForums Tanzania Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

    Ningependa Dataz na Rah P wako wapi siku hizi!
  12. Emilia

    JamiiForums Tanzania Prezoo amtukana Diamond

    Nilimuona huyu Prezoo anahojiwa na Mboni,akasema kwamba alimpa pesa Alicia Keys,lakini Alicia Keys akakataa akamwambia akawape maskini, kwa hiyo yeye Prezoo hakupenda hicho kitu alimmind A.Keys!
  13. Emilia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke msagaji ameniambukiza virusi vya ukimwi.

    Nimepitia ila sijaona maelezo ya kitabibu jinsi maambukizo yanavyo tokea,nadhani hapo ndipo hasa kwenye elimu yenyewe.
  14. Emilia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke msagaji ameniambukiza virusi vya ukimwi.

    Huja eleza jinsi huo ukimwi unavyo ambukizwa bado,naona ni hadithi tu,ungeeleza hasa kisayansi ungeelimisha jamii zaidi.
  15. Emilia

    JamiiForums Tanzania Sio kila mume ama mke anaamka saa kumi na moja asbh anaenda kazini,ongeza maombi

    Tamaa mbaya sana ni sawa na adhabu,huko tunakoelekea sijui itakuwaje maanake hii hali ndio inazidi.
Back
Top Bottom