Wapewa talaka kwa kuunga mkono CCM Zanzibar

Wapewa talaka kwa kuunga mkono CCM Zanzibar

Sasa hao waliosema wanaenda kufuatilia watafuatilia nini sasa?!

Mpaka mwanamke amefikia hatua ya kukukaidi na kukupinga wazi wazi, kuna tatizo kubwa zaidi ya itikadiza vyama. Kiutamaduni hili ni kosa.

Na kwa jinsi wanawake hawa wanavyokuwaga na kejeli na mdomo si ajabu walifanya hivyo hata kwa waume zao badala ya kutumia hekima ya mwanamke.
 
Huku kwetu ukijulikana ni ccm ukienda dukani huuziwi chochote unaambiwa katafute duka la chama.
 
Safi sana mie niliharibu receiver baada ya kukuta wakiangalia mkutano wa mafisiemu na wao; shishiemu ni ileile ni ileile..............pyuuuuuuuu
 
Kwani akikuacha ndio nini,huyo Mwanaume ni Mungu? Labda kama na wewe ni kula kulala,hujatengeneza mazingira ya kuwa na future yako mwenyewe,huna plan B.
 
Mbona kila mahali sasa hivi? hata misibani sasa hivi, ukiwa UKAWA huendi kwenye msiba wa CCM na Vise versa.

Lazima itafutwe namna ya kuliunganisha Taifa, hasa hasa Viongozi hawa, Magufuli, Lowasa, na maalim seif.
 
Mtu kaoa mtu kaacha, basi hakuna hoja hapo. Nyie mnadhani chama kinawadhalilisha na kuwaonea hao wanaume na mkeo anakiunga mkono wakati ulisha mwambia madhara mnayopata anastahili kuwa wako tena?
Ni sawa na kumkuta anafanya mapenzi na mhomvi wako anayekuonea kila siku
 
Naaaam wamefanya vema kuwafukuza mke lazima awe mwadilifu kwa mumewe
 
Kufuga panya ni hatari inayoweza izidi hatari yenyewe! CCM take those materials.
 
Back
Top Bottom