Recent content by emike

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mita mpya za LUKU ni JIPU

    yangu inazima ukiwasha taa sita kwa wakati mmoja, nimeenda tanesco tangu july 15 mpaka leo wapi,kuna mfanyakazi alinitonya kwamba mita hizi ni za mchina na ni bomu!!!!!!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Naipenda simu yangu ya windows

    ushauri acha kabisa kununua smartphone yenye windows os, report ya hivi majuzi inaonyesha mauzo ya hizo simu yamepungua kwa 50% na kwa sasa simu hizo ni asilimia 1.7 ya smartphones zilizouzwa kwa wateja globally na usishangae microsoft ikaachana na hiyo biashara kwa source jaribu ku google...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Windows 10 overtakes XP and 8.1, still lags behind 7

    laptop yangu ina w8 enterprise iliwekwa dukani wakati nilipo inunua, shida iliyopo nashidwa ku upgrade kwenda 8.1haipo kwenye store hii vipi nalazimika kununua hiyo w8.1 upya????
  4. E

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    je simu za voda smart4 mini inawezekana na bei gani?????
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Wamulike Tanesco Morogoro

    hilo ni bomu jingine hizo meter za kufugwa juu ya nguzo ni fake chini ya kiwango!!!!nchi nzima watu wanalia
  6. E

    JamiiForums Tanzania Serikali imetangaza zabuni kwa kampuni za ujenzi nje ya nchi kubomoa jengo la ghorofa 16 Dar

    kuna njia ya kubomoa majengo marefu bila kuadhira majengo na mali zilizoko jirani na jengo husika kwa kutumia milipuko ya baruti inaitwa buiding implosion inayofanywa na controlled demolion industry ie check youtube!!! Kwa hapa tz hiyo industry haipo kabisa au niseme sijaona ikifanyika
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mashine ya LUKU imenigomea kuingiza Umeme

    hizi luku zina matatizo ya kukata kata umeme tumeripoti tanesco mpaka tumechoka!!!!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mita za kwenye nguzo tabu tupu

    tanesco badilisheni hizi mita zina kata umeme bila mpango!!!
  9. E

    JamiiForums Tanzania CRDB bank acheni ubabaishaji mnatutesa

    Nimejaza form ya simbanking tangu week iliyopita lakini sijapata message ya kujiunga mpaka leo nawapa big up nmb kwa utendaji wao kwenye nmb mobile ???
  10. E

    JamiiForums Tanzania Dubai kuja na technology Hii

    Hawa wame desa kutoka pemba???? Hivi Dubai ni nchi au mji ???
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Burundi isijiunge na muungano wa Tanzania?

    yaani tujiunge na nchi ndogo kama zanzibar yenye watu mara 10 ya zanzibar na moja ya nchi masikini kuliko zote duniani!!!!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Msaada Msaada Msaada please!!!!!

    baada ya kuingia kwenye net mjuzi mmoja alishauri nitoe ram na ni install upya vizuri na nilipofanya hivyo imekubali ahsanteni kwa michango yenu!!!!
  13. E

    JamiiForums Tanzania Msaada Msaada Msaada please!!!!!

    natumia w7,nadhani cpu inafanya kazi kwa sababu kila ukizima power tab ya monitor ukiwasha very briefly inaonyesha computer Ilisha boot na Kwa Haraka unaweza ukaingia kwenye applications lakini monitor inarudi kwenye kiza unaona maandishi au icons Kwa mbali sana!!!!!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada Msaada Msaada please!!!!!

    Heshima zenu wana jf, ninayo desktop aina ya Dell inspiron 520s ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lkn kuanzia jana baada ya watoto kuchezea games, uki boot monitor inaonyeshe Iko kwenye sleep mode na inazima na kuweka kiza je nitumie njia gani ku solve tatizo hili hapa nyumbani kabla ya kutafuta...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kunuka Mdomo

    Usi ni judge tumia urine therapy ya mdomo source Google mimi imenisaidia!!!!!
Back
Top Bottom