IMEI:353059029129326IMEI: 353059029129326
Imekuwa locked na tigo/mic.
Pesa nimetuma sa hivi kwa namba 0654479756 Mwl.RCT
Okay, ngoja nifanye hivo.IMEI:353059029129326
GSM:Huawei Ascend Y530
UNLOCK CODE:[FONT=lucida_granderegular]5415122615213922[/FONT]
[FONT=lucida_granderegular]Maelekezo
[/FONT][FONT=lucida_granderegular]Washa simu ikiwa na laini tofauti, kisha ingiza hizo unlock code. Kisha gusa ok. Tayari simu yako yaweza kutumia laininyeuote ile.
KARIBU[/FONT]
Inawezekana.mkuu vipi kuhusu iphone?
Kwa iphone pitia haya maelezo, Kisha nipe hizo taarifa husika hapa kwenye thread (kama utapenda) au kwa PMNina iPhone4 locked with one carrier je malipo ya kaz ni kias gan
Inawezekana.
Taarifa 3 zinahitajika
1. IMEI
2. Network locked
3. Origin Country
Ghalama itategemea hizo taarifa tatu (3)
NB: Unlock codes huja kama updates kupitia iTunes, Hivyo lazima uwe na Valid itune account ya hiyo simu yako.