Haswaa, naona ktk africa hii watu wanaoongoza kujikataa wao kama weusi na asili zao ni WAZANZIBAR , wanatamani wahamie uarabuni jumla au waitwe waarabu na wanaona ndung zao ni hao waarabu, Eeh MUNGU africa imelogwa na nani?
Kuanzia misri mpaka huko morroco waliishi waafrika babu zetu, na ni Mali ya mtu mweusi hao waarabu warivamia kwa nguvu na kutesa waafrika, misri ilikuwa ya watu weusi mpaka huyo nabii musa alikuwa mweusi na mafirauni wote , we unae pinga hujui lolote mnajua kuabudu tu, lakin historia ya mweusi...
Daah ndo nipo kwenye msoto huu, na nina hofu juu dada zetu maana wao wanawaza pesa tu ,kuumpata aliye tayali kwaajiri ya kujenga familiar ni mtihani kweli ,eeh MUNGU niongozee mja wako
You are Unique conscious bro, na hapa watakuelewa wachache san, but its very reflective , in logical wazo lako lipo kwa upana sana, na si rahisi inahitaji power and movement ya ki harakatI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.