Recent content by Emanuel Mwasote

  1. E

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kesi ya madai katika suala hili linalonikabili?

    da, wadau mko juu. naomba msaada pia kuna jamaa nlifanya naye kazi, nikamkabidhi aendeshe Bajaji,ndani ya wiki akaondoka na 40000, na tairi sh 80000 na spanner 20000. yangu 2014 October, namdai kiheshma hanielewi. sheria inasemaje?
  2. E

    JamiiForums Tanzania UKAWA: Safari yenu imefika mwisho leo 29.10.2015 - Kingunge, Sumaye, Lowassa kutimka

    kama kizungumkuti, Lowassa katuliaaaaa. alitumwa kuharibu mini, mi simwelewi
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    nyang'oro ni balaa!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Pombe Magufuli, ashindwa kutokea kwenye Mdahalo wa Urais wa Tanzania

    Rungwe ndani ya nyumba
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kura za Mbatia zakamatwa kanisani Vunjo

    hiyo si karatasi halali
  6. E

    JamiiForums Tanzania Free Vodafone v785 Unlock Codes !

    Yangu ni vf685 imei 354459061133237 nisaidie kaka naomba
  7. E

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kufanya mapenzi mara kwa mara

    napitiliza hapa, hamna kituo, naona mistari ya pundamilia inaniruhusu kuvuka brbr, kwa heri
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    tumombee kwa Mungu
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ikulu yamtaka Askofu Kakobe aache porojo!

    serikali hii, ati haina dini! ni simple tu! kukubali kumweka mwakilishi wao kungeathiri nini?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

    aaaaaaaaghhhhhh! Pepo tokaaaaaaaaa! kwa jina la Yesu, usirudi tena
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mafua makali na kusikia baridi

    Naombeni msaada wa tiba ya mafua ni miezi kumi sasa. Pua zinaziba na hospitalini naambulia piritoni tu na antihistamines lakini wapi.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    si mchezo, hapa tutatoka kwl!
Back
Top Bottom