Majala Kimolo
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 342
- 39
Kaaazi kwelikweli, kukopa harusi kulipa matanga. Mla ndizi husahau ila mtupa maganda. Dawa ya deni ni kulipa. Hasira hazisaidii. Jamani lipeni na walio vyuoni wazipate. Kama wazazi wenu na nyie mnalipa kodi, basi ndo wakati muafaka wa nyie kulipa ili kodi itumike kiduchu kutolea mikopo. Visingizio nyenu eti mkachukue kwa esther oh mara ninalipa paye havina msingi. Acheni ubaradhuli, lipeni