Hii biashara ya mihamala ni risk sana,jamaa wanawinda kila siku nawana mbinu nyingi hatari,ila mabinti ndio wahanga wakubwa wahaya matukio. binti akisifiwa akitongozwa akili inahama washikaji wanatumia opportunity. Pole mdau
Mabasi yanaondoka kwa kasi sana,naukiangalia nyegezi imeshakuwa katikati mji umepanuka,hivyo stand haikupaswa kujengwa tena nyegezi kuondoa msongomano usiokuwa na tija.ila kwa kwa style hii bado kuna ajari nyingi zitatokea maeneo hayo hasa mkolani na buhongwa
Halafu uwa najiuliza kwa mama lishe na baadhi ya migahawa unakuta wamefunika mfuko kwenye sufuria la wali,wengine wameweka ugali kwenye mfuko ya plastik ili isipoe,so najiuliza hii nayo si inaweza kuwa hatari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.