Kampuni za betting zinatumia nini kupanga odds?

Wengine wamelala sisi tunafanya kilimo cha umwagiliaji
Screenshot_20250802-040055_Megapari.jpg
 
Kwema wakuu, natumaini ni kwema
[emoji1488]

Kampuni za betting hasa hizi za soka zinatumia mfumo gani kupanga odds za mechi, je ni AI inapanga kwa kupewa data za timu zitakazocheza kisha inapanga odds?

Inakuwaje kampuni moja inatofautiana nyingine wakati mechi ni ileile?
Betpawa
Yanga(1.25) vs Azam(7.50)
Sportpesa
Yanga(1.30) vs Azam(7.00)

Pia wanawezaje kupanga mechi nyingi kiasi kile, na mechi moja ina machaguo 50+, ligi ziko 100+ hasa weekend pote unakuta wameweka odds, wanatumia mfumo gani!

Heshima mbele, nawasilisha.
Mimi huwa wananiacha hoi pale kwenye live score, mechi ni nyingi sana duniani lakini unakuta wanachezesha live score kupanda na kushuka na ni kitendo cha fasta. Kwa mfano, timu ikielemewa odda zinakuwa zinashuka
 
Eeeh mzee... Dunia inaenda kasi mzee!!!
na zile odds hazibadiliki kiholela holela zinabadilika kwa mahesabu Makali sana yan ukichukua home draw na away odds ukiziweka kwenye hesabu za percentage alafu ukajumlisha zile % lazima upate zaidi ya asilimia mia so hata unaweka hela kwenye home draw na away kwa ratio inayofanana huwezi pata faida utapata loss
 
Mimi huwa wananiacha hoi pale kwenye live score, mechi ni nyingi sana duniani lakini unakuta wanachezesha live score kupanda na kushuka na ni kitendo cha fasta. Kwa mfano, timu ikielemewa odda zinakuwa zinashuka
alafu hazishuki tu kiholela zinashuka kwa uwiano inayofanana yan pale ukichukua odds ya nyumbani labda ukichukua 1/odds alafu ukaiweka kwenye % na draw ukagawanya na away ukafanya hivyo hivyo alafu ukazijumlisha zile asilimia lazima asilimia izidi 100 isipozidi mia hilo ni boko watu hapo tunakwapua hela haraka sana...... odds zipo hivi

home ni 1.76 tugawanye kwa 1 inakuwa 0.568 hii ni sawa na 57%
Draw ni 3.5 tuigawanye kwa 1 utapata 0.2857 sawa na 29%
Away odds ni 4.3 na 1/4.3=0.23 ambayo ni 23%

Sasa tukichukua 57%+29%+23% utapata 109% which means hata ukaiweka hela kwa uwiano unaotakiwa kwenye odds moja moja hapo hupati faida utapata loss hesabu kali sana zilipigwa mkuu
 
Duh noma aisee hawa jamaa wana mahesabu makali
 
Kwema wakuu, natumaini ni kwema
[emoji1488]

Kampuni za betting hasa hizi za soka zinatumia mfumo gani kupanga odds za mechi, je ni AI inapanga kwa kupewa data za timu zitakazocheza kisha inapanga odds?

Inakuwaje kampuni moja inatofautiana nyingine wakati mechi ni ileile?
Betpawa
Yanga(1.25) vs Azam(7.50)
Sportpesa
Yanga(1.30) vs Azam(7.00)

Pia wanawezaje kupanga mechi nyingi kiasi kile, na mechi moja ina machaguo 50+, ligi ziko 100+ hasa weekend pote unakuta wameweka odds, wanatumia mfumo gani!

Heshima mbele, nawasilisha.
Hizo odds zinapangwa kwa kutumia program ya kompiuta kwa kutegemea uimara wa timu mkuu.
 
Back
Top Bottom