Recent content by -Elvis

  1. -Elvis

    Suala linalonipa ukakasi, hii Mimba alidhamiria kuitoa au ni mpango wa Mungu?

    Usimhoji nikuhakikishie huwezi ujua ukweli cha zaidi utatengeneza hypohesis ambazo zitakuumiza. Tengeneza akili yako isahau lililotokea... Akijiskia kusema atasema mwenyewe asiposema iwe sawa kwako. Kikubwa ni kujua je, uhusiano unaendelea? Moyo upofu huwezi jua aliwazalo mwenzio.
  2. -Elvis

    Kutoa smart card kisa mtu anayebaki nyumbani na watoto wako na pia anayekupikia asiangalie TV

    Kuna wanawake wanaishi vizuri na wadada wa kazi wengi wao wamama ambao umri umeenda na mdada wa kazi ni binti mdogo. Kuchomoa card ni suala linalotegemea na muktadha wa yanayoendelea ndani ya nyumba. Wanawake wana namna yao ya kuuona ulimwengu usiwalaumu...hata kijiko kikidondoka usifikiri...
  3. -Elvis

    Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

    Kwangu nchi sio lazima iwe na chama cha upinzani kikubwa chenye nguvu. ninatoa mifano...kuna nchi hazina mfumo mpana na wenye nguvu wa upinzania lakini ni nchi zilizo piga hatua katika maendeleo ya jamii. Ng'wanapagi wewe si unaijua Botswana? kuna upinzani wowote wenye nguvu? kikubwa nchi iwe...
  4. -Elvis

    Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

    Sio ruzuku tu hata huyo Magufuli anakula Ruzuku sema yake imepewa jina lingine. hapa mada ni kuweka imani kwa kiongozi usilete usiasa usiasa.. Magufuli ni mwanasiasa, lowasa ni mwanasiasa, Mbatia ni mwanasiasa mtoa mada aliyetaka tuwajadili hapa.
  5. -Elvis

    Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

    Hapa tuna maswali ya kujiuliza kiongozi. Ni kwanini Jamii yetu imeshindwa hili? Je, ni historia ya kisiasa jamii iliyopitia toka tunapata Uhuru au ni mifumo iliyopo! lakini hii mifumo inawekwa na nani kama sio sisi wananchi kupitia miongoni mwetu tunaowapa mamlaka ya kutuongoza?
  6. -Elvis

    WARNING! Tahadhari ya WIZI kwa Wasafiri Uwanja wa JNIA

    hili swali halijakaa vizuri kiongozi.
  7. -Elvis

    Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

    Maendeleo ya nchi hii hayawezi kuletwa kwa imani za kumwamini kiongozi(kakikundi ka watu) atayaleta. tena ukikafuatilia mienendo yake..unastaajabu Hili limekuwa linaisumbua jamii yetu ndiyo maana tumekuwa warahisi kwa kuendeshwa na cheap propagandas.. Viongozi washalijua hili wanatupindua...
  8. -Elvis

    Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

    Wanasiasa sio Miungu watu ni hawa hawa watu tunoishi nao kila siku. Yaani wewe uyafanyao yanafanania na wayafanyao. Usimwamini mtu mpe asilimia kadhaa za kulifanya jambo ila sio kumwamini kwa kila kitu.
  9. -Elvis

    Young D afunga ndoa kimya Kimya

    Mtoto mzuri.
  10. -Elvis

    Uliachana vipi na mpenzi wako wa zamani?

    Kama umeona katoa stori yake basi una tatizo mahali.
  11. -Elvis

    Come dine with me

    Hata sijaelewa sijui akili ndogo au haya mambo mageni kwangu!
  12. -Elvis

    Marekani waahirisha mpango wao wa kutuma chombo kweye jua

    usichangamane saana na ndugu zako wa Maswa, bariadi n.k
  13. -Elvis

    WARNING! Tahadhari ya WIZI kwa Wasafiri Uwanja wa JNIA

    Ishu ni uaminifu wa wafanyakazi... Hata kama huyu kasahau kufunga begi lake sio halali kwa scanners kuchukua. Mkuu siku nyingine hivyo vitu usivipitishe huko tena bora hapo Jomo kenyata ungelia.
  14. -Elvis

    Hivi kwanini kila nikitongoza mwanamke ni kicheche

    sasa atakubalije kuachana wakati anajua huduma anazipata kwako Mzee baba? au wee ukajua mtoto anakun'gan'gania kisa umependwa?
Back
Top Bottom