Recent content by Ellylicious

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaj mume!

    lara hapo siku iyo ulikuwa mpole mpk sijui nin hahah
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kidato cha 4 mambo safi, matokeo mapya hadharani..................... ................

    kweli hii serikali ni ya vichaa....
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nimekimbia FB nimekuja JF.

    We jinga kweli....mke mwema anatoka kwa bwana na sio jf...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa mke wapili, wenye uzoefu nishaurini.

    kaka.. kuoa mke wa pili utapata stress za maisha za kukuua,,yaani utakufwaaaaa uzikwe wewe kabla ya muda wako..we wake wawili unaoa unadhani huyo utakayemleta atampenda mwenzie?? au unataka tu uumize mke wako mkubwa moyo??? kwanza utafanyiwa malimbwata wewe mpk ukome...yani utasababisha wivu kwa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania How Do i Stop Being Unfaithful To My Wife?

    brother, am telling u thats a spirit.( A SPIRIT OF LUST) , U better start dealing with it before it starts to destroy u. pray pray pray.. i mean get into a spiritual warfare,and start to rebuke that spirit of adoltary, BIND IT , BREAK AND CAST WATEVA SPIRIT THAT CAUSES U UNFAITHNESS IN UR...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Lonely woman in Dar this weekend

    hhahah huu ulonely umezidi kipimo, mpk unaomba watu wakupm...........duh duh, nenda kanisani kwenye mikesha huko, afadhali mungu anaweza kukuona, kuliko kubaki hapo unatafuta kampani la watu. kwa hiyo style yako ya maisha kazi sana .
  7. E

    JamiiForums Tanzania anapenda wezere

    aende kwenye maombezi.. uyo ni pepo mchafu sana aseee....aende kwa gwajima uko kawe, au watumishi wengine dar wako wengi sana watumishi wenye upako wa kutisha kulikimbiza ilo pepo..sio kawaida iyo na asione eti iyo ni tabia ya kawaida
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    dawa yake ndogo sana uyo..muignore usijibu chochote na nenda uso kwa uso mchane liveeeeee..that thing will demonize u.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Yes, am decided - I want to have Children......

    eti am decided..anyways lugha sio yetu hii bana, umejitahidi na kingereza chako tangiapo....it shud be am deciding........am goes with "ing"
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wabongo true love sio asili yetu

    Mapenzi ni jerusalemu kupendana na kristo basiiiiiiiiiiiii
  11. E

    JamiiForums Tanzania Vijana Angalieni muendako

    u need to b anointed in a market place
  12. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA, Nataka KUJIUA

    hiyo ni roho chafu ya kutaka kujiua( the spirit of committing suicide) ikatae na uivunje kwa mamlaka ya jina la yesu. we are always not standing by using the authority of our own name but jesus name
  13. E

    JamiiForums Tanzania What is your main cause of stress

    jaman kwani umelazimishwa kufanya iyo kazi? siuiache uone jua lilivo kali mjini
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naona huruma kumpiga chini, nifanyeje?

    we kaka wa ajabu kweli..ila nisikushangae wewe bali nimshangae shetani aliendani mwako... asee iyo sio akili ya kawaida eti unasema bila aibu kabisa unaona huruma kumuacha,, na ndoa je?? cast out that unclean spirit in u...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume,,Bikra iko hivi

    hahahahahaaa evelyne umeniua jaman,, ivi ile kaisiki ndo kazi yake eehh?? inapatikana wapi,, nataka nijirudishe kwenye ubinti hahahahaha
Back
Top Bottom