shule ya temeke ni ya day na jinsi ya kupatq join instraction ni lazima ufike shule na ni sh5000 suluare dark blue hostel zipo 40000 kwa mwezi na 60000 chakula so total 100000 kwq mwezi na ukiwasili shule lazma uwe na copy ya matokeo yako ...copy hyo utaitoa internet cafe
mimi bado na utata kwa hili hii shule ya temeke ni ya day au bording na kama ya day asilimia kubwa ya waliochaguliwa ni kutoka mikoani na kama kuna hostel je ni za shule i mean ulipii au unalipa kwa mwezi msaada wakuu
tatizo humu kuna mawazili wengi wa helimu na kila mtu.anajifanya anajuaa sasa fatilia taarifa hii ili upate ukweli
1.second selection zinatoka mwezi huu wa tisa na mwisho wa udahili na uwepo wa wanafunzi kidato cha tano ni october so udahili utaksofanyika out of zat ni batili..
2. wanafunzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.